Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

kwa nchi za wenzetu, ukifanya mazuri 100 ukaboronga moja unahukumiwa na hilo hilo moja!

Kwenye nchi yenye watu zaidi ya mil 40 inakuwa ni kichekesho kumwona mtu ambae ameshachafuka kuwa bado anafaa kuongoza. Kwani kabla yake Wizara ilikuwa haina Waziri? Tuache unafiki, uteuzi wa kujuana na upuuzi wa kusema huyu tukimweka pale atatuzibia muone kama hamtampata Mtanzania mwindine anaefaa kushika hiyo Wizara. Kama ndani ya CCM wameisha, angalieni na vyama vya upinzani.

Hilo linawezekana kama walivyofanya Wakenya majuzi. Hii nchi ni yetu na hamna nafasi kutetea wezi na watu wanao ongea uongo mchana kweupee, Kwa uongo alioongea Bungeni alipokuwa anajitetea, hapaswi hata kurudi Chuoni kufundisha.

Nashauri uteuzi ufanyike mara moja ili topic hii iweze kufungwa la sivyo mnataka Watanzania wote tuonekane HATUNAZO! kwa nchi za wenzetu, ukifanya mazuri 100 ukaboronga moja unahukumiwa na hilo hilo moja!

Kwenye nchi yenye watu zaidi ya mil 40 inakuwa ni kichekesho kumwona mtu ambae ameshachafuka kuwa bado anafaa kuongoza. Kwani kabla yake Wizara ilikuwa haina Waziri? Tuache unafiki, uteuzi wa kujuana na upuuzi wa kusema huyu tukimweka pale atatuzibia muone kama hamtampata Mtanzania mwindine anaefaa kushika hiyo Wizara. Kama ndani ya CCM wameisha, angalieni na vyama vya upinzani.

Hilo linawezekana kama walivyofanya Wakenya majuzi. Hii nchi ni yetu na hamna nafasi kutetea wezi na watu wanao ongea uongo mchana kweupee, Kwa uongo alioongea Bungeni alipokuwa anajitetea, hapaswi hata kurudi Chuoni kufundisha.

Nashauri uteuzi ufanyike mara moja ili topic hii iweze kufungwa la sivyo mnataka Watanzania wote tuonekane HATUNAZO!
 
Mengi ana hasira kisa kaambiwa ukweli kuhusu udalali......analia lia kuhusu kutuwakilisha wananchi na kile kijiwe chao cha uhuni Private sector Foundation wakati TPDC shirika la Umma lipo imara......Hakuna kitu ni udalali tu.m..
Hujajibu swali na kumsingizia Mengi kwa wiziwenu haisaidii sana.

sasa hali ikiwa hivo ni suala la kuwekawazi tu, jengeni mazingira ili watu waweze kuiba bila kubugudhiwa.
 
Biashara kwa mtu mwenye akili maana yake faida. hakuna faida hiyo siyo biashara niupuuzi.

Business means profit, any loss has no justification to purify the distortion.

Unawezaje kumsifu nakumpigia debe mtu anayetengeneza hasara? Nimpumbavu tu ambaye hafaham maana ya biashara.

-Unapoteza 200, unakopa 400 (-200) (kumbuka mkopo ni deni pia ie (-400)

-next unapoteza 300 unakopa 600 (-300) mkopo ni deni sio zako (-600) from 400 umebakiza (+100)

1. ulikuwa na 200 ukapoteza zote ukakopa 400 maana yake unadeni -200 -400 = -600 deni

2. Unapoteza 300 kutoka mkopo umebaki na 100 maana yake kutoka hapo juu -600 +100 -600 = -1100 Deni

Huu ndiyo ushenzi anaoufanya muhongo kwakukopa mabilion ya shilingi na kutengeneza hasara ya mabilion akiwekeza ndululu. unadeni la 1100 halafu umewekeza 100 tu!!!!!!grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.

Nimshenzi tu na mpumbavu asiyefahamu maana ya biashara yaani Faida nasio madeni wala hasara na hakunasababu

yoyote ya kusapoti hasara kwenye biashara duniani pote. (ndio maana ya kujioditi mara kwa mara kuzuia hasara

itakayopelekea shirika au kampuni kufilisika
)
 
Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-

1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.

2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara

3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.

4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.

5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?

Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?

KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA

Mr Mhongo sio kama kaonewa na Sakata la Escrow alistahili kumkutayaliyomkuta jaribu kufuatilia Majibu pale alipok

  1. Bungeni Mbunge alimpongeza Muhongo kuwa anafanya kazikubwa ya kusimamia hiyo wizara. JIBU: Hiyo kazi ndogo sana na huku akiwaanajisifu kuwa yeye amefanya kazi kimataifa zaidi.

  2. Bungeni aliwadhalilisha wabunge wenzake, moja Ole sendekakuwa hakufaulu vizuri kidato cha sita, mbili alimdhalilisha John Mnyika kwakumwambia kuwa elimu yake ni moja jumlisha moja.

  3. Akiwa kwenye kongamano mlimani anajisifu kuwa yeye nimsomi aliyefaulu huku kwenye vyuo alivyopita anasema” nendeni mkawaulize hukotulikopita pita jinsi tulivyofanya vizur katika masuala ya sayansi yageographia ”.

  4. Anawanyima fulsa watanzania kwamba hawatapewa vitalu vyagesi kwa kuwa hawana hela ya kuwekeza katika gesi na mafuta bali wanawezakutengeneza juice tu.

  5. Anaongea uwongo mara kwa mara huku spika akimshauri kuwa “mheshimiwawaziri uelewe kuwa unapotoa majibu bungeni ndio majibu ya selikali hivo uwemakini na kauli zako” hapo spika aliua so.

Kwangu mimi nilijua mhongo hawezi kudumu katika nafasi hii kisiasa kwaaina ya kauli zake, Pia nimkumbushe kuwawabunge wenge wa ccm hawana elimu ya juu hivo kumtukana Ole Sendeka utakuwaumetukana kundi kubwa na hiyo iwe fundisho kwa wanaodhani kupata A A A Nyingikatika masomo darasani basi utafanikiwa kila mahali.
uwa amebanwa kihoja iwe kwawabunge au Jamii Fulani

Hivi wewe na Ngoshani mnawashwa na nini? Utawezaje kuhusisha mafanikio ya TANESCO - Shirika linalojitegemea lenye CEO na watendaji wake na mwanasiasa tena uchwara kama Muhongo! Nilidhani ungezungumzia mafanikio au la ya sera za wizara ukayahusisha na Waziri Muhongo ningekuelewa. Lakini kama ni wewe au hao Nipashe wanahusisha mambo ya uendeshaji na wizara basi nyie wote mna matatizo makubwa. Na kama Muhongo ameingilia kazi za TANESCO basi kwa vyovyote vile hawezi akasamehewa. Yeye siye Mtendaji wa Tanesco- na kama alifanya hivyo ndio maana tumekuwa tukikosa umeme mara kadhaa na hayo matatizo ya mikataba ndiyo yanatuumiza.

Muhongo alishasema yeye sio mwanasiasa ni mwanasayansi tu!
 
Science means fact, other wise could be something else.

Mwanasayasinsi maana yake kukopa kwa hasara na kudanganya?
 
Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-

1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.

2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara

3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.

4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.

5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?

Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?

KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA

Sasa haya ndio majibu, we kweri hamnazo badala ya kujibu nawewe umekuja na maswali!
 
Mengi ana hasira kisa kaambiwa ukweli kuhusu udalali......analia lia kuhusu kutuwakilisha wananchi na kile kijiwe chao cha uhuni Private sector Foundation wakati TPDC shirika la Umma lipo imara......Hakuna kitu ni udalali tu.m..
Mkuu pengine una akili ya mtoto wa chekechea, ukimwacha Mengi pembeni, una uhalali gani kushabikia wizi?
Naona unakwepa swali lililo wazi.

Kama mnaona wizi wa escrow ni halali, with or without Mengi serikali ihalalishe wizi wa mali zake.
Kupakazia Mengi is radher childish and stupid.

In actual fact hata akifa Mengi leo nobody cares, ninyi kwa vile vyombo vyake vimewaexpose ndo mnashabikia wizi.
 
Wanaomsifia dalali muhongo mumeazima akili kwa wenye mtindio wa ubongo. Huyu mtu kashachafuka.
 
Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-

1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.

2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara

3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.

4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.

5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?

Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?

KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA

Muhongo ni mtaalam wa kulipua miamba huo umeme kaujua lini? ESCCROWM ndio ishaliwa na wahuni wa nchi kwa udalali wa Muhongo. Je; Muhongo kakupa sh. ngapi kuja kutetea ujinga hapa.
 
sory Invisible niliweka thread ya maswali hayo imetolewa but majibu yasio jibu maswali yale naona inatamba tuu, kwa pointless without facts
 
Last edited by a moderator:
Mengi asipoacha hii tabia ya ubinafsi atakuja kunyongwa hadharani.

Anataka tuwaone viongozi wetu hawafai kwa maslahi yake binafsi...
 
Huyu mwandishi wa hii article namfananisha na wale Wafanyakazi, wenye nguvu afya na akili timamu pamoja na familia zao waliompokea Jairo kwa mbwembwe nyiiingi pale ofisini kisha kesho yake jamaa katimuliwa. Sijui huwa jamaa wanajiskiaje wakiona zile picha za siku ile.... Pumbafu zao kabisa

Mpwa wanabembeleza mkate hao.
 
ndiyo maana nasema sehemu kubwa ya Watanzania ni misukule,wakati Tanesco inaenda kwa hasara na madeni lukuki na serikali kila mwezi inatoa ruzuku ya mabilioni,mtu anazungumza utumbo ati pesa za escrow zingetumika hivi sijui hivi,hivi mnajua Tanesco haijailipa Iptl kwa miaka mingapi sasa?hiyo billion 320 cha mtoto tu,mmegeuzwa misukule mnaimbishwa tu,ukiambiwa kitu utumie na akili yako kufikiri. tuambieni katia hasara vipi profesa Muhongo? kanunua mtambo chakavu? kaamuru pesa za escrow zitolewe? toeni majibu mnabwabwaja tu,ni lini Tanesco iliwahi kupata faida? hamna majibu,mnaleta habari za siasa.
 
Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-

1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.

2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara

3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.

4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.

5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?

Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?

KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA

nakubaliana na wewe kwamba mhongo kaleta mageuzi tanesco,lakini najiuliza hivi hizi siasa chafu zinazozingiziwa kutaka kumwondoa waziri huyu ndo zilizomfanya aswe makini na mambo yaliyokuwa yanaendelea,je chuki za siasa ndo zilimfanya atuambie eti alitaka kumfikisha mwanasheria wa tanesco kwenye vyombo vya sheria ila akashindwa,kama kweli alikuwa na makosa kwanni asimpeleke mahakamani na huku unatuambia aliziba mirija ya wizi kwani kisheria mwizi anafanywaje? alisimama anasema 100% hela ya escrow hakukuwa na hela ya umma na huku ile account ilifunguliwa ili kutatua mgogoro kwa kufanya recalculation,kabla ya kufanya hivyo yeye anasema hela ni ya watu binafsi,hata kama ni kweli si angeshauri kufanya ilivyotakwa kwanza ili kuondoa lawama? pia yeye kama waziri anajua kwamba kampuni ilikwepa kodi na sehemu rahisi ilikuwa kuwabana kabla hawajalipa hiyo hela serikali ipate kodi kwanza yeye anasema hakuna hela ya serikali
 
Dah.....atimaye joka limejuvua gamba na kujitokeza hadharani...VITALU VYA GESI NI SHIDA
 
wewe umepewa ngapi? simple minded Tanzanian
Muhongo ni mtaalam wa
kulipua miamba huo umeme kaujua lini?
ESCCROWM
ndio ishaliwa na wahuni wa nchi kwa udalali wa Muhongo. Je;
Muhongo kakupa sh. ngapi kuja kutetea ujinga hapa.
 
Kuongeza kwa deni ni pamoja na kwenye uwekeza muhongo katumia pesa nyingi sana kuwekeza na kusambaza umeme vijijini,uwekezaji pia unalenga kuifanya tanesco initegemee kitu amabacho mafisadi hawataki badala yake wanataka iendelee kuwa hoi ili waendelee kununua umeme wa dharula.

Dada jibu swali sio unarukaruka tu,ukimaliza mrudishie laptop yake Muhongo aliyokuweza umtetee huku jukwaani.
 
Mhongo kama waziri ana makosa yake katika swala zima la ESCROW kupitia wizara ya Nishati na Madini iliyochini yake. Lakini pia anachokifanya Mengi kupitia vyombo vyake vya habari ni kuendeleza vita binafsi kwa Mhongo.
 
Back
Top Bottom