Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

Kosa la muhongo ni mwongo na mwizi. Kuna nini tena ivi lini mtakuwa na akili timamu mi mnaniudhi eti muhongo anakosa gani ivi hata mtoto mdogo anaweza kukujibu.
 
Bora sasa mengi amejitokeza na muhongo waziwazi alikuwa anatumia watu sasa ameona muhongo anapendwa na watu amejitokeza mzimamzima kupambana na muhongo kupitia magazeti yake na tv mengi mjinga sana

Ametumia akina mbowe,mbatia,kafulila,zitto,deo filikunjombe haikuzaa matunda sasa kaingia mwenyewe mzee anabalaa huyu fisadi la mafisadi.
Sendeka kala Pesa zake sana akajua biashara itamalizika kule Dodoma lakini wamedunda ile mbaya, Mengi anataka kuwadai pesa zake, Huyo mengi mwenyewe ni Mwizi huwa halipi Kodi hana mfano wa kuigwa.
 
Mengi si Mungu eti kila asemalo ni la kweli, mengi ana madhambi mengi kama lilivyo jina lake, Ni mzee wa Fitna chuki pindi akiona Masilahi yake binafsi yamehojiwa uharali wake,Mengi anapenda ligi pia ni mpenda ulalamishi,kwa kifupi huwa Anadeka saaana. Huyu Mzee Mpenda Dogo dogo baba wa Mapacha kwa sasa watu wamemshitukia kuwa hana Uchungu na Nchi hii bali anawatumia Wananchi kusaka Huruma kwa Masilahi yake binafsi, mbona Wamiliki wengine wa TV hawana tabia mbaya kama za Mengi?
 
Tatizo la wana CCM ni dogo sana hamjui kutoa ushahidi na kuzuia tetesi,sasa mmeambiwa mjibu mnaanza kubwabwaja hapa.Hii haito wasaidia kumsafisha mtoto mpendwa Muhongo.
 
Tutaendelea kumtetea,si vema kumchinja kuku anayetaga
 
Mimi nasisitiza,si vema kumchinja kuku anayetaga
 
Tatizo la wana CCM ni dogo sana hamjui kutoa ushahidi na kuzuia tetesi,sasa mmeambiwa mjibu mnaanza kubwabwaja hapa.Hii haito wasaidia kumsafisha mtoto mpendwa Muhongo.

Usikariri kuwa kila anayekosoa kazi ya PAC ni mwana CCM.kumbuka mengi ni CCM pengne mkongwe kuliko hata Muhongo.Mwigulu pia ni CCM,kadhalika Sendeka,Lugola,Deo,Hamis n.k.Watu tuna-argue kwa hoja, hatuwezi kukubali kulishwa ujinga kisa eti utaonekana mwana CCM.Ukweli utabaki kuwa ESCROW HAIKUWA HELA YA UMMA ISIPOKUWA KODI AMBAYO HAIKULIPWA WAKATI WA MAUZIANO YA HISA NA MUHUSIKA NI AG.MTU ASIYEJUA NA LAKINI HANA UTAMBUZI KUWA HAJUI, HUYO NI MPUMBAVU.MMELEWA USHABIKI WA KIJINGA NA KUJIONDOA AKILI.HATUTAKI WANAUKAWA WASIO NA AKILI,WAKUQUPUKAJI,WASIO-REASON!SHTP.
 
Hana makosa kabisa huyu malaika wa mola....
Ana mazuri mengi tu baadhi ya hayo mazuri ni:
1. Kusema fedha za escrow SI ZA UMMA kwani TANESCO wana madeni makubwa wanayodaiwa na IPTL.
2. Kusema ya kuwa Watanzania hawana uwezo wa kuwekeza wakati hata hao wawekezaji wenyewe wanaopewa vitalu wanakopa kwenye Bank zao.
3. Ni profesa mpole sana na mcheshi sana mwenye maneno ya upole sijawahi kuona hasa kwa wana MTWARA
4.Ni Professor wa pekee mwenye uwezo wa kutoa facts and figures ambazo hazikuwa ferified popote zinazopinga report ya CAG.
5.Ni kiongozi ambaye hana Kinyongo, anatafuta suluhu na wadau wake na hana kinyongo na Mengi na Mkono. Ni kiongozi wa mfano wa kuigwa. upendo wake kwa mahasimu wake umezidi kipimo.
6. Hajawahi kusema uongo kabisa. Nawahakikishia alishawahidi waTZ hakutakuwa na Mgao wa Umeme na toka atoe tamko hilo HAKUJAWAHI KUWA NA MGAO WA UMEME. Wote tu mashahidi umeme haukatiki na asilimia 99 ya nchi ina umeme masaa 24 na hasa zile siku za muwasilishwa ripoti ya Esrow aliwapa maagizo mameneja wote wa TANESCO umeme usikatike na HAUKUKATIKA KABISA. Huyu Profesor sio MUONGO KABISA ni MKWELI TUUU.
8. Hajalewa madaraka, hang'ang'anii madaraka na ni mtu wa watu. Ni chaguo la thithiem
9. Ni professor ambaye atachaguliwa kwa kura za kishindo endapo atapitishwa kuwa Mgombea wa Urais na kuna motisha ya Laptops kwa wote!
10.........................................

Viva Le proffeseri.......

Hi inchi tunakoelekea sio kuzuri hata kidogo, hatuna utamaduni wa kuwasikiliza wengine na kuheshimu mawazo yao lakini inaonekana Siasa ndio inaenda kuharibu kabisa maarifa na busara za watu,mimi kuna jambo linguine katika sakata hili la Escrow sijalielewa vyema naomba wale wanaolifahamu wanijuze! kuna baadhi ya watu wana sema pesa zilizoporwa ni 306 billions wengine wanasema 321 billions , usahihi wa habari hizi upi mana kama ninachofahamu ni kwamba pesa iliyokuwemo kwenye account ya Escrow wakati CAG anafanya ukaguzi ni 182billions.
 
Kosa la muhongo ni mwongo na mwizi. Kuna nini tena ivi lini mtakuwa na akili timamu mi mnaniudhi eti muhongo anakosa gani ivi hata mtoto mdogo anaweza kukujibu.

Unaelewa tafsiri ya mwizi kisheria ? soma sura 258 Tanzania penal code maana kama utamfungulia mashtaka ya wizi basi unalazimika kutumia sharia kumpata na hatia na lazima elements zote za tafsiri ya wizi ziwepo vinginevyo utabakia wizi wa maneno ambao hautokuwa na athari yoyote kisheria.
 
Usikariri kuwa kila anayekosoa kazi ya PAC ni mwana CCM.kumbuka mengi ni CCM pengne mkongwe kuliko hata Muhongo.Mwigulu pia ni CCM,kadhalika Sendeka,Lugola,Deo,Hamis n.k.Watu tuna-argue kwa hoja, hatuwezi kukubali kulishwa ujinga kisa eti utaonekana mwana CCM.Ukweli utabaki kuwa ESCROW HAIKUWA HELA YA UMMA ISIPOKUWA KODI AMBAYO HAIKULIPWA WAKATI WA MAUZIANO YA HISA NA MUHUSIKA NI AG.MTU ASIYEJUA NA LAKINI HANA UTAMBUZI KUWA HAJUI, HUYO NI MPUMBAVU.MMELEWA USHABIKI WA KIJINGA NA KUJIONDOA AKILI.HATUTAKI WANAUKAWA WASIO NA AKILI,WAKUQUPUKAJI,WASIO-REASON!SHTP.

Mada sio hoja ya PAC bali ni vipi mh.Muhongo ana kwepa lawama.Sasa huwezi kusema kuwa ni msafi bila kusibitisha kwa vigezo na ushahidi.Watu wanatumia taarifa ya PAC, CAG kuthibitisha kuwa fedha ni za umma unapokanusha toa evidence sio kupayuka.
 
kwa nchi za wenzetu, ukifanya mazuri 100 ukaboronga moja unahukumiwa na hilo hilo moja!

Kwenye nchi yenye watu zaidi ya mil 40 inakuwa ni kichekesho kumwona mtu ambae ameshachafuka kuwa bado anafaa kuongoza. Kwani kabla yake Wizara ilikuwa haina Waziri? Tuache unafiki, uteuzi wa kujuana na upuuzi wa kusema huyu tukimweka pale atatuzibia muone kama hamtampata Mtanzania mwindine anaefaa kushika hiyo Wizara. Kama ndani ya CCM wameisha, angalieni na vyama vya upinzani.

Hilo linawezekana kama walivyofanya Wakenya majuzi. Hii nchi ni yetu na hamna nafasi kutetea wezi na watu wanao ongea uongo mchana kweupee, Kwa uongo alioongea Bungeni alipokuwa anajitetea, hapaswi hata kurudi Chuoni kufundisha.

Nashauri uteuzi ufanyike mara moja ili topic hii iweze kufungwa la sivyo mnataka Watanzania wote tuonekane HATUNAZO! kwa nchi za wenzetu, ukifanya mazuri 100 ukaboronga moja unahukumiwa na hilo hilo moja!

Kwenye nchi yenye watu zaidi ya mil 40 inakuwa ni kichekesho kumwona mtu ambae ameshachafuka kuwa bado anafaa kuongoza. Kwani kabla yake Wizara ilikuwa haina Waziri? Tuache unafiki, uteuzi wa kujuana na upuuzi wa kusema huyu tukimweka pale atatuzibia muone kama hamtampata Mtanzania mwindine anaefaa kushika hiyo Wizara. Kama ndani ya CCM wameisha, angalieni na vyama vya upinzani.

Hilo linawezekana kama walivyofanya Wakenya majuzi. Hii nchi ni yetu na hamna nafasi kutetea wezi na watu wanao ongea uongo mchana kweupee, Kwa uongo alioongea Bungeni alipokuwa anajitetea, hapaswi hata kurudi Chuoni kufundisha.

Nashauri uteuzi ufanyike mara moja ili topic hii iweze kufungwa la sivyo mnataka Watanzania wote tuonekane HATUNAZO!

Mbona Dr Slaa alishawahi kusema kuna kontena la kura kule Tunduma katika uchaguzi wa 2010? amefanywa nini mbona bado anadunda mpaka sasa
 
Mada sio hoja ya PAC bali ni vipi mh.Muhongo ana kwepa lawama.Sasa huwezi kusema kuwa ni msafi bila kusibitisha kwa vigezo na ushahidi.Watu wanatumia taarifa ya PAC, CAG kuthibitisha kuwa fedha ni za umma unapokanusha toa evidence sio kupayuka.

Ni Pg namba ngapi ya report ya CAG iliyosema conclusively kwamba pesa yote iliyokuwemo kwenye Escrow account ni ya uma? bali ni ile statement kwamba yawezakuwa ya uma au sio ya umaa ...
 
Kwani aliajiriwa kufanya mizaha? mtu akifanya alichoajiriwa kufanya anapongezwa? hata akiiba afumbiwe macho tuuu? huu ni umbumbumbu unaopatikana tanxania tu kwa watu wenye i.q ndogo kuliko wote duniani
 
Ainisha uhalifu wake mkuu,uhalifu una sura nyingi mkuu uhalifu wa kijinai ama wa aina gani ? na wenyewe unatajwa na sharia ipi katika sharia tulizonazo?

Matumizi mabaya ya ofisi ya umma au nirudie tena?
 
Ni Pg namba ngapi ya report ya CAG iliyosema conclusively kwamba pesa yote iliyokuwemo kwenye Escrow account ni ya uma? bali ni ile statement kwamba yawezakuwa ya uma au sio ya umaa ...

Hata kama ni 10% ya pesa yote ukweli utabaki ni ya umma na si vinginevyo.
 
Mjadala umeanza muda mrefu na hoja zimekuwa zikitolewa. Mpaka sasa sijaelewa kosa la Muhongo na Maswi katika sakata hili... naomba wenye kuelewa waeleze kwa kifupi na kwa hoja.

Ninavyofahamu wao waliomba ushauri kwa AG na AG akashauri alivyoshauri, na hata AG alisema alaumiwe yeye badala yao...
 
Back
Top Bottom