Upunguani mwingine bwana! Sasa na wewe umejiona umo miongoni mwa GREATER THINKERS WETU??.. Bora ungekaa kimya1) Hivi dalali hua hapati pesa, mbona yeye hajatajwa?
2) Mnashangaa kwa nini deni limeongezeka, mbona hamshangai kusambaa kwa nguzo nchi nzima au mlijua anatoa pesa mfukoni kwake?
Nimefanya uchunguzi kwa muda mfupi kuhusu watu wanao mchukia prof muhongo nimegundua wana sifa mojawapo ktk hizi!
1)Wao ni wapigaji wa kubwa ktk sehemu zao za kazi.
2) Huwa hawatembei mikoani wao ni posta, k,koo tu.
3) Walikuja mjini kwa sababu ya shule au ana kaa mjini kwa shemeji.
4) Ni waoga wa maisha analipwa kamshahara kadogo anaogopa akiacha kazi atakula nn.
5) Waliokua na pesa na sasa wamefilisika.
6) Wapo wapo tu kila analolifanya haliendi.
7) Na wale walio tofautiana kiitikadi.
Nimefanya uchunguzi kwa muda mfupi kuhusu watu wanao mchukia prof muhongo nimegundua wana sifa mojawapo ktk hizi!
1)Wao ni wapigaji wa kubwa ktk sehemu zao za kazi.
2) Huwa hawatembei mikoani wao ni posta, k,koo tu.
3) Walikuja mjini kwa sababu ya shule au ana kaa mjini kwa shemeji.
4) Ni waoga wa maisha analipwa kamshahara kadogo anaogopa akiacha kazi atakula nn.
5) Waliokua na pesa na sasa wamefilisika.
6) Wapo wapo tu kila analolifanya haliendi.
7) Na wale walio tofautiana kiitikadi.
Bora sasa mengi amejitokeza na muhongo waziwazi alikuwa anatumia watu sasa ameona muhongo anapendwa na watu amejitokeza mzimamzima kupambana na muhongo kupitia magazeti yake na tv mengi mjinga sana
Ametumia akina mbowe,mbatia,kafulila,zitto,deo filikunjombe haikuzaa matunda sasa kaingia mwenyewe mzee anabalaa huyu fisadi la mafisadi.
1) Hivi dalali hua hapati pesa, mbona yeye hajatajwa?
2) Mnashangaa kwa nini deni limeongezeka, mbona hamshangai kusambaa kwa nguzo nchi nzima au mlijua anatoa pesa mfukoni kwake?
Mkuu usijisumbue kumtetea msomi Muhongo aliyejidhihirisha kuwa ni muongo!Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-
1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.
2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara
3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.
4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.
5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?
Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?
KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA
Rais kajifunza kutokana na makosa ya Jairo, sasa itabidi achambue pumba na mcheleHuyu mwandishi wa hii article namfananisha na wale Wafanyakazi, wenye nguvu afya na akili timamu pamoja na familia zao waliompokea Jairo kwa mbwembwe nyiiingi pale ofisini kisha kesho yake jamaa katimuliwa. Sijui huwa jamaa wanajiskiaje wakiona zile picha za siku ile.... Pumbafu zao kabisa
Yule mzee wa kuoa wajukuu zake, kavjrugwa mkuuMengi anahangaika sana. Sasa amekuwa dalali wa akina Zitto kueleza madeni ya TANESCO
Muhongo hayupo kupiga siasa na wala yeye hajui siasa. Hapo ni kazi tu. mwambieni Mengi ajipange upya ila kwa hii santuri ya escrow imebumaMkuu usijisumbue kumtetea msomi Muhongo aliyejidhihirisha kuwa ni muongo!
Yoote tisa, kumi ni umajivuni wake unaokera, mtu kama huyo huwezi kumtetea kwa vigezo vyovyote vule.
Nafikiri Muhongo alikuwa na kaujinga fulani kwa kufikiri kwenye siasa ni darasani, si alionyesha vyeti vya Ole Sendeka katika kujitetea na madudu yake.
Sasas tumbili tu wamemsabaratisha, na kumuita muongo, na hii iko kwenye hansard ya bunge.
Kama ana akili sana na ni msomi , atengue sifa hiyo mbaya sana.
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mengi kachanganyikiwa. Hana tofauti na Padre MzinifuYule mzee wa kuoa wajukuu zake, kavjrugwa mkuu
Mwenye matatizo ni dalali Reginald Mengi anayevamia watu ambao hata hawaogopi utajiri wakeNgoshanyi utakua una matatizo aisee