Ambayo uimara wake umetoka wapi?Unadhani wanawajengeaje tofauti na huku? Kikubwa ni uimara sekta binafsi yao.
Check again hicho kipimo chako cha umri, labda cha kichina hicho.Nimekupa mstari lainiii utulie nao lakini hujielewi.Ningetumia maneno pwik-pangani si ndiyo ungeanza hadi kubonyeza vitufe kwa mods kuomba miongozo?Tulia unyolewe.
HALAFU:
The last time I checked you're under 30 years of age.Kuni-articulate "kijana" utapata baridi.
Nakuelewa unakoelekea na kwa upande fulani nakubaliana na wewe. Ila kuna factors nyingi zaidi ya Government na mjadala wake ni mpana sana.Ambayo uimara wake umetoka wapi?
Ila maisha yamekua magumu kila upande cjui shida iko wapi1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
16.Waliopoteza ndugu zao kwa kutekwa,kupigwa risasi tens kanisani,nk1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Sawa ni mtazamo1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya

Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
babako amesha mpa
Huu ujinga nani anawalisha, kapitie report za non farm payroll na unemployment rate za marekani uone ni kiasi gani marekani tatizo la ajira lilivyo dogo.U
Ukweli ni ukweli tu hata kama ni mchungu. Kama Serikali ya Marekani haiwezi kuajiri raia wake wote, kutegemea nchi kama Tanzania ifanye hivyo ni kujidanganya live.
basi mpeleke mamako.kwa niaba yake
Huyo nimemwambia akasome report za non farm payroll na unemployment rate za marekani ndipo aje kuchangia, sijui nani anawalisha haya matangoporiNi kweli kabisa,lakini sidhani kama serikali ya Marekani haijawajengea vijana wake uwezo wa kujiajiri.
ungekuwa karibu ningekupa maujanja sema ndio vileee
bwe
bwege babako