Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,025
- 285,558
kuna dhuluma hata ya maiti za MV NYEREREVipi wale ambao walidhulumiwa rambirambi zao kule Kagera ambazo zilichangwa hadi na watu masikini kabisa?Wenyewe wanaingia kundi lipi hapo?
kuna dhuluma hata ya maiti za MV NYEREREVipi wale ambao walidhulumiwa rambirambi zao kule Kagera ambazo zilichangwa hadi na watu masikini kabisa?Wenyewe wanaingia kundi lipi hapo?
Ukitaka kumuuwa mbwa, mpe jina baya!
Mliandaa msiba wa Lissu imeshindikana,andaeni wenu sasa.Mda umefikaMagufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
Mama yake Aquilina na yeye awekwe kundi lipi?
Ni kweli kabisa,lakini sidhani kama serikali ya Marekani haijawajengea vijana wake uwezo wa kujiajiri.U
Ukweli ni ukweli tu hata kama ni mchungu. Kama Serikali ya Marekani haiwezi kuajiri raia wake wote, kutegemea nchi kama Tanzania ifanye hivyo ni kujidanganya live.
Vipi wauzaji nyumba za serikali mbona hujawataja - au hao hawahusiki1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
usisahau wafanyakazi ambao hawajaongezwa chochote tangu Magu aingie Magogoni
Unamaanisha nini?Huu ndiyo tunauita umung'unyaji wa maandishi.rambirambi walipewa serkali
Sasa mleta uzi hakunipa mipaka.Kwa nini weye uteseke Mama Aquilina kutajwa?Acha kumchonganisha Mama wa watu Na Serikali!
Umeandika kwa kuwakejeli watumishi wa umma.Kwa nini umewadharau.hivyo?Watumishi wa Umma wanamuona Magu Kwenye Glass, Na Hata wakilala wanamuota kwa kasi yake ya Tufani Kwenye kuleta Maendeleo
Kwa wenye vyeti feki usimsahau DAB. Pia Joka la Makengeza umelisahau. Bila kusahau watu wenye mawazo mbadala.1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Huwa mnachekesha sana.Kipindi fulani kumbe huwa mnawatumia mabeberu kujifananisha na kujikinga dhidi ya mapungufu yenu?U
Ukweli ni ukweli tu hata kama ni mchungu. Kama Serikali ya Marekani haiwezi kuajiri raia wake wote, kutegemea nchi kama Tanzania ifanye hivyo ni kujidanganya live.
Wewe na nani? Kila mtu ajitwike msalaba wa maovu yake? Hatuna haja kutafuta huruma wakati msiba wenyewe ni wa kujitakia!Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara