Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
sijaona ulipoandika wakulima wa KOROSHO waliodhulumiwa korosho zao
 
Vijana uvumilivu mdogo. Nilitaka nione tu, average resilience yenu ikoje kabla matusi hayajaanza. Najua tukeendelea kidogo tungeanza kushuka kwenye nguo za ndani.
Nimekupa mstari lainiii utulie nao lakini hujielewi.Ningetumia maneno pwik-pangani si ndiyo ungeanza hadi kubonyeza vitufe kwa mods kuomba miongozo?Tulia unyolewe.
HALAFU:
The last time I checked you're under 30 years of age.Kuni-articulate "kijana" utapata baridi.
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Umemaliza wengi ni kizazi athirika na juhudi za Mh, Rais wana hasira na machungu kuliko mtu yoyote.!

Hebu tafakari kidogo, sponsor au baba alikuwa anafanya kazi bandarini, na alikuwa na cheti feki, amefukuzwa kazi na labda ana kesi mahakamani, kwa sabbu ya pesa rahisi alijenga kandokando ya barabara kuu maeneo ya kimara au mbezi nyumba ikavunjwa.!
Bahati mbaya alikuwa ameoa mwanamke ambaye kielimu hakuwa vizuri sana kichwani akamtafutia cheti na kumfanyia mpango akapata kazi ya Ualimu. Naye fagio la vyeti feki likamkumba.!

Katika mazingira haya unategemea mtoto wa familia hii atampenda Magufuli kwa namna yoyote? Kwanini asimtukane na hata kungekuwa na uwezekano angempiga jiwe au risasi kabisa, kuna watu wakisikia jina la Magufuli kwao ni Ndoto ya kutisha mnoo.! Iliyobadiri maisha yao ya peponi kuwa maisha ya jehanum.

Katu, hawawezi kumpenda Rais huyu hata iweje, wengi wa hao ndio wapo kwenye mitandao ya kijamii, ni kizazi cha akina Mange kimambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumelipa bill 500m mpaka sasa.hivi ww ndio wale wasio na mashamba ila mnakorosho mkiambiwa tuoneshe shamba mnakimbia
kwa taarifa yako hatuzungumzii bilion mlizotoa tunazungumzia idadi ya waliolipwa wengi hawajalipwa. hakuna cha kukagua mashamba wala nn ni kwamba hakuna pesa. mlitangaza mnanunua 3300 leo 2600 ati zimepungu ubora ivi mnadhani wananchi wale hawana akili? tunawajua wenye hayo mashamba na bado hawajalipwaa. hata wsafirishaji ziiiiiiiiii. hovyo kabisa wewe
mtu hajapandishwa mshahara na daraja miaka mitatu aipende serikali? ati nao mwawahakiki
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Ukiama kwa Dada ndo akili utapata. Msubiri shemeji ufungue mlango....
 
*waliotekwa ndugu zao
*familia ya Aqwilina
*waliolipizwa visasi akina Manji
*wanaopinga kupigwa risasi kwa wanakibiti 368
*walionyimwa rambirambi
*waliopigwa risasi hadharani
*wanaochukia kodi zao kuhongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n
mbowe lipata zero na bado ni nwenyekiti wako
Elimu siyo uwe na PhD au Profesa,mwenyekiti wako ana phd feki ya maganda ya korosho na haimsaidii kitu tuna maana ya upeo wa mambo hata Gwajima siku ile ya madini alimuambia kijanja kuwa hana EXPOSURE
 
Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
Hivi KY zimeisha madukani? Naona unataka kuwa Amberooted bila mate
 
Back
Top Bottom