Miaka 4 ajira 7000 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]U
Ukweli ni ukweli tu hata kama ni mchungu. Kama Serikali ya Marekani haiwezi kuajiri raia wake wote, kutegemea nchi kama Tanzania ifanye hivyo ni kujidanganya live.
Mara mbuzi, michembe na vyooni, si turudi tu kwenye mada ya ajira! Inawezekana kweli nina akili nyembamba lakini unavyochanganya majamboz, hata wewe akili yako nayo sio nene pia.Umeshiba michembe ukijumlisha na akili nyembamba hauwezi kuelewa kitu mpaka utoke chooni.
Angalia kioo ukiwa peke yako.Utakayemuona ujue huyo ndiye mbuzi niliyemuelezea.Halafu utulie.Mara mbuzi, michembe na vyooni, si turudi tu kwenye mada ya ajira! Inawezekana kweli nina akili nyembamba lakini unavyochanganya majamboz, hata wewe akili yako nayo sio nene pia.
Ccm inapendwa na wenye upeo mdogo kielimu na kina mama wa vijijini masikini wa kutupwa kama wewe.Uchumi unaporomoka,watoto wanazidi kukosa mikopo,ubora wa elimu unaporomoka,ajira zinazidi kupotea kutokana na biashara nyingi kufungwa,shida ya maji vijijini miradi ya REA madawa vijijini kusimama pesa za wafadhili hakuna1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Kwa majibu haya ukilinganisha na post uliyoiquote ni dhahiri wewe ni FALAn
nashukuru mkuu kwa kuwataja hawa jamaa.hawajielewi
USSR unawasahauJe wavuvi waliofanywa mufilisi, wafugaji walionadiwa mifugo yao yote eti wanalisha karibu na hifadhi. Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanakosa udhamini , kwa sababu tu O level wamesoma private schools !! nk nk.1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Mmmmh ujira wako sh ngp mkuu au na ww ndo wale waliojificha?rambirambi walipewa serkali
Yaani unategemea mama aliyeuliwa binti yake na serikali aipigie makofi? Hayajakukuta!Acha kumchonganisha Mama wa watu Na Serikali!
Bora umeliona hilo. Maana quote na majibu yake cjayaelewa kabisaKwa majibu haya ukilinganisha na post uliyoiquote ni dhahiri wewe ni FALA
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maneno uwe unayaongea na mke wako nyumbaniMagufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
Hawa ndo wameletwa JF kwa kazi maalum wakati ni mbumbumbu hivi!!?Bora umeliona hilo. Maana quote na majibu yake cjayaelewa kabisa
Labda wenu nyumban kwenu.Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
hawa wanafikia 17M (over 65% ya wapigakura 2020).1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
naona upo kwenye walifukuzwa kwa vyeti feki
Hawa dawa yao ni kuwalima kwa maneno makali hadi wababaike na kujidai watu wema.We hit hard where it hurts the most!Yaani unategemea mama aliyeuliwa binti yake na serikali aipigie makofi? Hayajakukuta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umewasahau wakulima wa korosho huko kusini?!! Ambao wanatakiwa kuchangia 2500/=kwa gunia kama pesa za kusafirishia gunia moja la korosho, na bei ya korosho kwa sasa ni 2650!!1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Ila huyo huyo Mzungu miaka yote mmemuita mbia wenu wa maendeleo, huku mkimpa madini yetu na gesi BURE!!! Mna laana ninyi na aliyewalaani aliisha kufa!!Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
Vijana uvumilivu mdogo. Nilitaka nione tu, average resilience yenu ikoje kabla matusi hayajaanza. Najua tukeendelea kidogo tungeanza kushuka kwenye nguo za ndani.Angalia kioo ukiwa peke yako.Utakayemuona ujue huyo ndiye mbuzi niliyemuelezea.Halafu utulie.