Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

Mbona orodha hiyo waweza kukuta hata mama Jesca naye yumo? Hivi hujui kuwa tabia zake huyo bwana wenu zimechosha kila mtu? Huyo mama Jesca kipigo chake, wadogo zake kuliwa nakuambiwa asilete fyoko nasikia hata push up anapigishwa mama wa watu. Unadhani ataacha naye kutumia mitandao kumchapa?
 
U

Ukweli ni ukweli tu hata kama ni mchungu. Kama Serikali ya Marekani haiwezi kuajiri raia wake wote, kutegemea nchi kama Tanzania ifanye hivyo ni kujidanganya live.
Hakuna anaesema waajiriwe wote,mbona wakati wa ufisadi waliajiriwa kila mwaka?
 
U

Ukweli ni ukweli tu hata kama ni mchungu. Kama Serikali ya Marekani haiwezi kuajiri raia wake wote, kutegemea nchi kama Tanzania ifanye hivyo ni kujidanganya live.
ndo mana watu wanatukana humu yaan kuachia ngaz JK ajira tele Leo kaja Jpm hakuna ajira. unailinganisha Tz na america utatukanwa sana na walimu kwa comment yako.
 
MAFAO sekta binafsi untill 2023

1550213953128.png
 
ndo mana watu wanatukana humu yaan kuachia ngaz JK ajira tele Leo kaja Jpm hakuna ajira. unailinganisha Tz na america utatukanwa sana na walimu kwa comment yako.
Siku zote matusi si tatizo la anayetukanwa, ni tatizo la anayetukana.
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Mbona sijioni kwenye list? This is unfair

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo taifa dhaifu lilikosa mweleko la USSR lilivyosambaratika ndivyo serikali ya magu nayo inavyopoteza mwelekeo na kusambaratika.
Unaota ndoto ya mchana...kwani kwenye hiyo orodha wewe uko kundi namba gani.
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao

You are 100% correct[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ndio walengwa hasa wa hii harakati ya kuwasaka wanaomtukana rais. Kuwa na uanachama wa CHADEMA siku hizi ni kama uhaini. Unaweza kuishia jela muda wowote.
 
Back
Top Bottom