Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

Na wengi wao ni makada wa CCM, kangomba wengi ni CCM, wauza unga wengi ni CCM, wafanyabiashara wakwepa kodi wengi ni CCM nk nk

Kama wengi wa hao ni wanachama wa CCM, je JIWE atapona kutoka ghalika ya wapinzani wake huko ccm 2020?
 
Magufuli atakuwa rais wetu hata maisha yote akitaka. tunampenda na kumlinda sana. lile genge la kina lissu na wenzake wakae chonjo kama wao walivyotangaza vita na rais wetu, nasi tunawatangazia vita ya sisi na wao, nendeni kwa wazungu ama popote mnapojisikia wenda, ila kaeni mkijua mnataka kutuletea matatizo, mzungu ukimkaribisha anakuja akiwa anacheka, ila kuondoka lazima akondoke wewe ukiwa unalia. Lissu usidhani mzungu anakupenda sana wewe ama anaipenda nchi yako, jua wazi kisebesebe kinachokupeleka huko kwenda kushtaki unawafaidisha wazungu na watakunyoosha barabara
Ni nani anayempenda kama serikali yake ilimpiga risasi,siku utakapopigwa wewe hata mkononi tu utajua madhara ya udikteta.Kwenye kumbukumbu yako ni nani aliyekuwa mwizi wa Mali za umma kama si wanaccm ? Mnafiki mkubwa wewe kipindi cha JK mlisema hakuna kama Yeye leo unasema Jpm aongoze milele anzisha nchi yako ndo akatawale huko milele.
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
wastaafu kwa kutolipwa mafao yao
wafanya kazi kwa kutoongezewa mishahara.
wananchi kwa kuwa na maooisha magumu
 
Wewe na nani? Kila mtu ajitwike msalaba wa maovu yake? Hatuna haja kutafuta huruma wakati msiba wenyewe ni wa kujitakia!
Hao wanaowachukia wazungu wamekaa kwenye key board wanatumia zana zao, wanatumia umeme waliovumbua wao, wanatumia reli na meli walizoziacha wao kama Liemba na Victoria. Wale tuliosoma Lumbert, Mackean, Philips tunadunda. Shule wanazojisifia walijenga hao wazungu. Zinazojengwa sasa watueleza zina ubora gani?
40%ya budget ya nchi inategemea hao wazungu. Wanasahau siyo kila mtu ni mzungu. Kuna wajapan, wakorea, wachina na wahindi lakini wenyewe akili ni kwa wazungu tu kisa bwana yule anaogopa kwenda huko.
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Ni list nzuri sana,umejitahidi ku-brainstorm mkuu.Ila wapo pia i)vijana wasio na ajira.
ii)viongozi waliokuwa wanafaidi mipesa ya mafisadi iliyokuwa inamwagwa CCM na pia wababaishaji na wasio na weledi CCM.Hawa hawana uhakika wa maisha yao kwa kuwa wana wasi wasi huenda siku moja wataenguliwa.
iii)wafanyakazi wa serikali kwa vile a)hawajaongezewa mishahara
b)hawataki uhakiki wa watumishi.
c)marupurupu na mikakati yao ovu ya kuiibia serikali imekatiliwa mbali.
d)serikali inataka weledi na uwajibikaji wa hali ya juu.
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
na wanao shangiliya serikali ni hawa:
1.wendawazimu
2. wakristo wenye siasa kali
3.wanaotengemea vyeo
 
Na wakulima wanaokosa pembejeo na masoko ya mazao yao, kiufupi ni watanzania wote tu. Wanaomkubali ni wale wanaonufaika naye kwa njia moja ama nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15. Walikula 1.5trillion
16. Waliojenga uwanja wa ndege chato kwa 50bn
17. Waliokwiba korosho za wakulima na kuwadhulumu malipo yao
18.waliokula 12bn za uchaguzi majimbo mawili
19.jumba jeupe kula 1.9trillion za watanzania kwa matumizi hewa
20.chama tawala kuongozwa na wajinga,wapumbavu,vilaza,mafisadi,wezi kuanzia 2015
21.mawaziri,madc vilaza kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
51345974_2483756801666772_8288364111851421696_n.jpg
 
15. Walikula 1.5trillion
16. Waliojenga uwanja wa ndege chato kwa 50bn
17. Waliokwiba korosho za wakulima na kuwadhulumu malipo yao
18.waliokula 12bn za uchaguzi majimbo mawili
19.jumba jeupe kula 1.9trillion za watanzania kwa matumizi hewa
20.chama tawala kuongozwa na wajinga,wapumbavu,vilaza,mafisadi,wezi kuanzia 2015
21.mawaziri,madc vilaza kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sijui hamasa itakuawaje 2020!
 
Umevimbiwa ugali na maharagwe,basi unatupigia tu kelele humu

United Fan
 
1. Wauzaji na watumiaji wa Dawa za Kulevya
2. Waliofukuzwa kazi kwa ishu ya vyeti feki
3. Waliokuwa wanajilipa pesa kupitia dili za watumishi hewa
4. Wezi wa mifugo kabla ya wazo wa kupiga alama ya utambuzi kwenye minada
5. Walanguzi wa korosho kwa kangomba huku wakiwaibia wakulima
6. Watoto/wake/wame ambao baba/mama/zao wametumbuliwa kwa kashfa mbalimbali
7. Waliony'anyang'wa mashamba makubwa baada ya miaka mingi ya kuyakalia bila kuyalima huku wananchi wakiteseka kukosa ardhi
8. Waliojinufaisha kwa migogoro ya wakulima na wafugaji
9. Walioishi kwa magendo ya bandarini huku wakiliibia taifa
10. Wakwepa kodi hasa wafanyabiashara wa hali ya kati
11. Waliolipwa pesa baada ya uthaminishaji na wakakataa kuhama wakijua ni vya bure
12. Wanasiasa wapingaji na waropokaji maana kila jambo kabla hawajalisema Serikali inalitatua
13. Wezi wa madini, wanyama na mbolea za Serikali
14. Wanaokereka na mashine za kukusanyia mapato
15. Wanasiasa waliokata tamaa ya ushindi 2020 huku wasijue hatma yao
Umeshau na watumishi wa umma ambao hawajawahi kupandishwa madaraja wala mishahara
 
Back
Top Bottom