Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Hayo ndiyo yalikwa makosa makubwa ya BABA WA TAIFA! walioharibu baadhi yao waliadhibiwa lakini wengi wao WALIHAMISHWA! Ndio maana nimekuwa nikimaanisha nyumba yenye msingi mbovu ibomolewe tujenge nyumba mpya. Shimo la siafu tulimwagie mafuta tulitie moto siafu wasitusumbue tena.Kwanini tumkosoe Kikwete ilhali naye sio Malaika just like Nyerere?Si kwamba namuunga mkono JK,bali hapa najenga hoja.Pili,unaposema huenda akuna mahali alikosea,hiyo HUENDA inaashiria huna hata hakika kama aliwahi kukosea au la,lakini mwishoni unahitimisha kuwa HAIKUWA MAKUSUDI.How did you know?
Hivi,Nyerere hakutambua kuwa amezungukwa na mbwa mwitu walio kwenye ngozi ya kondoo (eg akina Kingunge)?Hivi Nyerere alipokuwa anatoa adhabu za kuwapa watu ubalozi wanapoboronga hakuwa analea matatizo ambayo leo hii yametuzalishia viongozi wa ajabu kabisa in the form of Kikwete au watangulizi wake Mkapa na Mwinyi?Hudhani kuwa kwa kukumbatia uongozi kama privilege kwa wateule wachache,Nyerere ametuachia CCM inayoamini kuwa uongozi ni u-mUngu mtu kwa wateule wachache hao na si utumishi kwa umma.
Of course,ametufanyia mengi mazuri.Lakini hiyo sio sababu asikosolewe pale alipokosea.Na kumkosoa si dhambi,anyway.
Shwari said:Jasusi is right. Eli Anangisye was involved in a plot to overthrow the government.
Mwalimu Nyerere had nothing against him apart from his involvement in the plot to overthrow the government. He liked Eli Anangisye very much. If you don't believe it, ask some of the people who were close to Mwalimu about that. He was a rising star in the political firmament but squandered his fortune.
There are things which can't said here. But if you know some senior intelligence officers who were around then, ask them about Eli Anangisye and about the army officers he talked to, and what happened after that. I knew Eli Anangisye. I talked to him after he was released from detention. I went to his office when he worked at NATEX (National Textile Industries) which was near the Askari monument. He was the head of that office. That was in 1971. I won't go any further. Believe what you want to believe - if you still contend that he was not involved in a plot to overthrow the government; I am not going to be prodded into saying anything else.
Truth is the daughter of Time. Hata kama tutatumia nguvu nyingi kiasi gani kumchafua na kumponda J.K Nyerere kwa vigezo tofauti tofauti vyenye maudhui ya udini ndani yake, spirit yake bado itasuta dhamira zetu na kutaka kurudi katika misingi ya utawala bora yenye dhamira ya kumkomboa mtanzania mnyonge. Ikiwa taifa hili halitarejea katika misingi bora ya utawala aliyoiasisi J.K Nyerere basi umaskini utakuwa ni muendelezo wa historia ya vizazi na vizazi. Truth is the daughter of Time.
Nimeonyesha, kwa vyanzo mbali mbali, hoja ya bajeti na kubadilisha Katiba iko jamvini, Wabunge wanajadili kupunguza manguvu ya Rais na hatamu ya chama, Nyerere anaona watu wamechachamaa mjadala unaenda ndiko siko, anamtuma Rashidi aende Karimjee kuzima mdahalo na kutamka Bungeni "Hili nataka lieleweke mara moja kwa wote; na iwe mwisho kuhoji hoji Chama." Wabishi wa demokrasia hawakubali, baada ya wiki mbili wanafukuzwa TANU, wanafukuzwa ubunge, na wanatiwa nguvuni....Hebu tufafanulie tafadhali.
Nimeonyesha, kwa vyanzo mbali mbali, hoja ya bajeti na kubadilisha Katiba iko jamvini, Wabunge wanajadili kupunguza manguvu ya Rais na hatamu ya chama, Nyerere anaona watu wamechachamaa mjadala unaenda ndiko siko, anamtuma Rashidi aende Karimjee kuzima mdahalo na kutamka Bungeni "Hili nataka lieleweke mara moja kwa wote; na iwe mwisho kuhoji hoji Chama." Wabishi wa demokrasia hawakubali, baada ya wiki mbili wanafukuzwa TANU, wanafukuzwa ubunge, na wanatiwa nguvuni.
"A Tanzanian example: On October 19, 1968, Nyerere, then president, ordered several members of his parliament expelled, and detained others without trial. Their crime: criticising his policies during a budget debate. Among the victims were Eli Anangisye and a one-time friend of Nyerere, Joseph Kasella-Bantu; the others were former trade union leader Christopher Kassanga Tumbo, Ndugu Choga, Ndugu Bakampenja, and Ndugu Kaneno.
Several hundred people were detained without trial that same month, up to sixty in the Kilimanjaro region alone. When a report about these detentions appeared on October 2, 1968, in the widely circulating Daily Nation, a Kenyan newspaper, the government promptly ordered the arrest of Tanzanian journalist Melek Mzirai Kangero, for filing the report. CHANZO
Hebu imagine, unamtia nguvuni mwandishi wa habari kwa kuandika habari kwamba kuna wabunge wametiwa nguvuni!
Kwa hiyo, Nyerere alikuwa anajitungia sheria za ku maintain manguvu yake ya kidikteta, halafu baadae anataka tumuenzi "...Katiba ilikuwa inaniruhusu kuwa dikteta, ningetaka ningekuwa dikteta." Unataka nipige makofi kwa hilo?
Ni kama mtu anakwambia inabidi unishukuru, nilikuwa nimeshakuvua nguo ya mwisho, tuko gizani kichochoroni, mazingira yanaruhusu, ningetaka ninge kurepu! Kwa nini utengeneze hayo mazingira, niseme ahsante kweli?
Thank you, Jeshi la Mtu mmoja. Ludovick Mwijage hana credibility, hata ukisoma kitabu chake unaona kuwa hakuwa "innocent bystander." Taso bado anahitaji kufanya homework yake. Anangisye aliwekwa detention 1967. Walifukuzwa TANU 1968. Wapi na wapi?Source?? Chanzo??? Ludovick Mwijage. Needless to say, chanzo chako happens to be extremely biased; kwa nini umchague mtu aliyejipatia umaarufu kama "mhanga wa utawala dhallmu wa JKN" wakati wapo neutral and more objective sources wengi tu?
Kuna big mispresentation ya topic. Inaonekana kuna wanao metetea mwalimu na wanao mpinga. Hoja ni kumjadili kulingana na kile alichokifanya, alichotarajia kukifanya n.k bila upendeleo.Makame;2196685]hapo naona umeongea kitu ambacho sasa naanza kukielewa.
1. Unasema critisms against Nyerere ni za kidini. Mimi binafsi, naona inawezekana kuwa ni kweli to a certain extent. Bali ziko critisms ambazo sio za kidini, na hizo zina nguvu za hoja. tena ni nyingi.
2. Kwa kuzingatia maelezo niliyotoa hapo juu; ina maana utetezi wa Nyerere; anatetewa kwa sababu za kidini? Ndio mpaka tumefikia kusema awe canonized? I think we have to be objective. Nyerere was human and bound to make errors like any other