Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,135
- 144,636
Kuna kitu nakigiundua hapa, ila stasema kwa sasa.Ungejiuliza kwanza wale wanaopiga Wanyama kama Paka au Mbwa mpaka anakata roho hupewa mafunzo gani?
Hao watu ni psychopath sifa ya psychopath ni kukosa huruma na wataalamu wanasema wanaotesa Wanyama ni psychopath, na siyo watejelezaji tu kuna wanaotoa oda pi unawaweka kundi gani?
Namimi nimeshtukaKuna mwingine tena kapotezwa au?
Ndio maana dunia jnaongozwa na sheria kudhibiti watu wenye tabia mbayaDuniani kote baadhi ya binadamu ni wakatili kwa asili/psychopaths, wanahitaji fursa na mazingira sahihi tu kuweza kutekeleza ukatili huo.
Sio kawaida, ni uhalifu tu.Nchi zote duniani,utawala wa nchi hufanya haya mambo...iwe us,China,Russia,UK,Israel,Kenya nk
Haya mambo hutokea....ni kawaida tu
Ova
Lete ushahidi vinginevyo wewe nawe utakuwa huna akili pia.Hizo kazi huwa wanapewa watu wasio na akili. Watu wanaoweza kuendeshwa kama Robot.
Mtazame Bashite. Kila aliposoma aliondoka na daraja sifuri. Halafu akafanywa kuwa mkuu wa kitengo cha kupoteza watu.
Barbarosa.Ungejiuliza kwanza wale wanaopiga Wanyama kama Paka au Mbwa mpaka anakata roho hupewa mafunzo gani? Kwa nini Tanzania wanapiga paka mpaka anakata roho? ...
Hawa watu huitwa "hitmen". Hutumiwa na magenge ya waharifu, serikali (government conspiracies) ama walipa visasi (vendetta).
Nije kwenye hoja yako ya mafunzo. Hitmen wa serikali hupewa mafunzo ya kupoteza watu.
Hitmen wa Tanzania (enzi za ujamaa) walikuwa wanapelekwa Moscow ambako kuna chuo ambacho hutoa mafunzo ya kuuwa kwa kutumia sumu, bunduki na kumnyonga mtu kwa mikono.
Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo...