Baki na imani yako na usiwe na mashaka yoyote bossUlimuuliza Mungu ni Mwema anakujibu ni Mwema Sana, ulimuuliza Mungu ni mlinzi na ana upendo? Wanasema tena Sana Upendo wa Agape, ulimuuliza Mungu anachukua dhambi na anathuruma wanasema tena Sana.
Sasa wallet kwenye mambo ya ground huku field duniani
Gaza
Ukraine
Congo
Somli
Uganda
Mali
Chad
ivory coast
Tanzania
Magaidi
Irani
Umalaya
Ushoga usagazi
Hivi vyote Mungu ameshindwa kuicontrol
Hapo sijaongelea milipuko ya Magonjwa, njaa, ukame, mafuriko, matetemeko, mjng ya Moto ambayo huyo Mungu mwenye Upendo na Huruma ameruhusu viteketeze viumbe wake kwa matendo makali
Naunga mkono na miguu hojaUlimuuliza Mungu ni Mwema anakujibu ni Mwema Sana, ulimuuliza Mungu ni mlinzi na ana upendo? Wanasema tena Sana Upendo wa Agape, ulimuuliza Mungu anachukua dhambi na anathuruma wanasema tena Sana.

Kuamini ni uhuru wa mtu haijalishi ni uongo au ukwelBaki na imani yako na usiwe na mashaka yoyote boss
Kama umeshagundua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka ni Bora uwe muislam kuliko kuzidi kujipotezaUlimuuliza Mungu ni Mwema anakujibu ni Mwema Sana, ulimuuliza Mungu ni mlinzi na ana upendo? Wanasema tena Sana Upendo wa Agape, ulimuuliza Mungu anachukua dhambi na anathuruma wanasema tena Sana.
Sasa wallet kwenye mambo ya ground huku field duniani
Gaza
Ukraine
Congo
Somli
Uganda
Mali
Chad
ivory coast
Tanzania
Magaidi
Irani
Umalaya
Ushoga usagazi
Hivi vyote Mungu ameshindwa kuicontrol
Hapo sijaongelea milipuko ya Magonjwa, njaa, ukame, mafuriko, matetemeko, mjng ya Moto ambayo huyo Mungu mwenye Upendo na Huruma ameruhusu viteketeze viumbe wake kwa matendo makali
Kuhusu uhuru upo sahihi, kuhusu utamu wa pera ni false cause fallacyJohn dhambi
Wewe amini unachoamini
imani ni swala la mtu mwenyewe
Kama MUNGU HAYUPO
UTAMU KWENYE MAPERA HUA UNAWEKA WEWE?
Ww ndo unafanya ad hominem mm nimeongea maoni yangu kuhusu atheists na wanaoamini na trending ya dunia sasa hiviUzi wenyewe ulioandika ni ad hominem fallacy , hakuna hoja yoyote ya msingi uliyotoa ya kueleweka hapa.
Mm Bado ni muislam safi kabsaMkuu na wewe sasa umeshahamia kwa hao jamaa.wanao mkufuru mungu.
Ili uzi uonekane angalau una mantiki, ulitakiwa utoe angalau hoja kadhaa kwanini unadai hoja za theists hazina mantiki.Ww ndo unafanya ad hominem mm nimeongea maoni yangu kuhusu atheists na wanaoamini na trending ya dunia sasa hivi
Ww unaanza kushambulia mleta mada
Weka hoja zako za kutetea uwepo wa MunguIli uzi uonekane angalau una mantiki, ulitakiwa utoe angalau hoja kadhaa kwanini unadai hoja za theists hazina mantiki.
Siyo kuandika tu theists ni weupe ili hali nina uhakika hata nikifanya mjadala na wewe hapa, huwezi kujibu hoja zangu kwa logic zaidi ya kuni-attack, maana ndiyo kawaida yenu nyie atheists.
Kwanza onyesha hizo hoja zisizo kuwa na mantiki kama ulivyo dai, na ufafanue logic haipo kwenye nini?Weka hoja zako za kutetea uwepo wa Mungu
Yani hoja zenu zote hazina mashiko hivyo hakuna haja ya kutaja moja moja, ww unaona zina mashiko zilete hapa lakini nakupa tahadhar usifanye circular reasoning tuKwanza onyesha hizo hoja zisizo kuwa na mantiki kama ulivyo dai, na ufafanue logic haipo kwenye nini?