Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

Wale walio liwa na wanyama wakali kama simba mamba na fisi atakutanao wapi?
Hakuna kitakachopotea.
Kama aliweza kugeuza mannii kuwa mtu.kwanini ashindwe kukufufua?.sio hao hata wale wahindi wanaojifanya wajanja wanachomana moto na majivu kutupa baharini na mitoni.my brother kwa Mungu hakipotei kitu.😂😂.
MIMI KOSA,MUNGU KOSA.haipo hyo
 
😂😂.kwa akili zako unadhani Mungu anataka nini kwako?au anakutegemea kwa lipi?.wala hana haja na wewe
ngona nikutoe tongo kwanza.. anaeunda kitu ndie huwa anashida nacho! Mnasema mungu kamuumba binadamu yeye ndie anashida na binadamu sisi hatukumuomba na kamwe hatuna chakupoteza hata akitupoteza hakuna tunachopoteza maana maisha kwetu hayana maana yoyote kwani hatukuyaomba!.
acheni kuwa na fikra za kioga ktk kuhoji na kufikiri.. anaeunda nguo ndo mwenye shida nayo nguo hainashida hata kama itachomwa moto si shida zake!.

na ndio maana hata tukifa sote humu duniani nadunia kufutia sisi hatutakuwa na hasara yoyote,hizi purukushani za watu kutafuta mali hata zisikutishe ndo uone kwamba sisi tunamuhitaji mungu!.. think big hatuna chakupoteza.
 
Kwani wewe kuletwa duniani haujapenda?
 
sijapenda ndio maana sikuombwa kabla sijazaliwa!
Hii ina maana huna madaraka.na unamtegemea yeye.
sasa kama haukutaka kuletwa duniani unatakiwa utafute sehemu ya kwenda kuishi🤣🤣🤣
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    23.4 KB · Views: 17
Hii ina maana huna madaraka.na unamtegemea yeye.
sasa kama haukutaka kuletwa duniani unatakiwa utafute sehemu ya kwenda kuishi🤣🤣🤣
mkuu hivi unatumia ubongo upi kupembua mambo...?naona shughuli itnataka kuwa pevu..😂
 
Punguzeni kejeli na masihara kwa Mungu.
 
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia.

Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa MUNGU nae hajamsaidia, sasa mtu anashikwa na gadhabu " Kweli huyu Mungu kama yupo kwanini hanisaidii kwenye hili? Na tunaambiwa NI Mungu muweza wa yote"

Unajua kuna mengi Sana yanaendelea kwenye hii Dunia unajiuliza Mungu anaona kweli? Na kama anaona mbona hazuii haya??

Kwamimi naona hawa Atheist ⚛️ Wana hoja wasikilizwe, Mimi binafsi sio Atheist lakini kuna mambo yanatokea kila kukicha naona kama mbona kama hawa jamaa Wana hoja? Yani kila siku zinavyoenda naona kama hawa jamaa wana point.

Binafsi napata utata, siamini kama Dunia ilitokea tuu from no where, naamini lazima alikuwepo muumbaji lakini wasiwasi wangu NI KWELI HIZI SIFA ZA HUYU MUUMBAJI "Mungu" tunazozisikia na kuzisoma zina ukweli?

Je Mungu ana huruma kweli? Mbona yanayoyokea sioni kama kweli ana huruma na watu wake?

Mimi naona Ni
*Mbinafsi
*Hana huruma
*Kiburi
*Kuna mambo yako nnje ya uwezo wake

Au nawaza baada ya kuumba ulimwengu na vilivyomo, yeye akamtupa shetani na majini duniani Sisi binadamu wake anaotupenda tupambane, halafu yeye akakaa pembeni!?

Nataman sana niabudu DINI za asili ambazo zilikuepo kabla ya ujio wa waarabu na wazungu, lakini nashindwa nianzie wapi Mimi Nina asili ya Kagera japo sipajui.

Kwasasa nikiona mtu anaenda kanisani Yani naona kama ametoka kudanganywa 😀 sijui nimeshaathirika kisaikolojia, kanisani sijawah kukanyaga mwaka wa 15 huu ( lakini cha kushangaza Mimi ni mtu mwema kuliko hata hao wanaojazana kanisani maana wengi nakaa nao huku mtaani, wengi walevi tuu na wanapenda sana ch*pi!

Nipe muongozo wakuu kua muumini wa DINI za asili kabla ya ujio wa waarabu na wazungu naanzia wapi??
....IS STILL GOD.
 
Yupo kila sehemu. Ila utaanza kuona uwepo wake siku unapoanza kukata mawasiliano ya dunia.na kuanza kwenda ulimwengu mwingine. Na kuona viumbe tofauti na uliowazoea.ndo utajua ehee kumbe kweli.sasa kurudi duniani unashindwa unabaki NA LAITI NINGEJUA.ila unakuwa umeshachelewa
Hadithi za kufikirika hizo. Nani alikufa akarudi kukusimulia?
 
Kulingana na NENO la Mungu,

Wanasema hakuna Mungu ni " Wapumbavu".
 
Nimesoma mijadala mingi ya atheists na wanaoamini katika abrahamic religions na kitu kikubwa nilichogundua na kuona kwenye hiyo mijadala mara zote wanaoamini Mungu yote wanazidiwa hoja

Sio wakristo sio waislamu wote wanashindwa kumtetea Mungu wao kulingana na Imani yake

Sana sana wataanza kufanya ad hominem na circular reasoning tu nje ya hapo ni waupe haswa

Hii kitu naona ndo chanzo cha waliotutangulia kiakili kukimbia hizi dini na utapel wake, lkn sisi watu weusi kutoka akil zetu ni nzito tutaanza kuelewa mwaka 2070 huko, maana wachache sana ndo wamestuka

Na natabiri mwaka 2150 hapa duniani wafuasi wa hizi dini watakua chini ya 1m Dunia nzima

Nawasilisha
 
Ulimuuliza Mungu ni Mwema anakujibu ni Mwema Sana, ulimuuliza Mungu ni mlinzi na ana upendo? Wanasema tena Sana Upendo wa Agape, ulimuuliza Mungu anachukua dhambi na anathuruma wanasema tena Sana.

Sasa wallet kwenye mambo ya ground huku field duniani

Gaza
Ukraine
Congo
Somli
Uganda
Mali
Chad
ivory coast
Tanzania
Magaidi
Irani
Umalaya
Ushoga usagazi

Hivi vyote Mungu ameshindwa kuicontrol

Hapo sijaongelea milipuko ya Magonjwa, njaa, ukame, mafuriko, matetemeko, mjng ya Moto ambayo huyo Mungu mwenye Upendo na Huruma ameruhusu viteketeze viumbe wake kwa matendo makali
 
Back
Top Bottom