Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,602
Kila kitu kinawezekana under the sun hii pia ni njia ya kuzuia utungaji mimba na wapo wanaoitumia na wala si uvivu wa kufikiri ila ni ujuzi na ubunifu mkubwa :becky:
Mkuu Kimbweka,
Uzoefu ni kwamba kondomu ni salama sana kama wanandoa wanawasiliana vizuri kuhusu mwenendo wa biolojia ya mama. Kwa uzoefu wangu, kuanzia day7 had 17 natumia salama na huu ni mwaka wa 7 bila ajali. Ila hiyo mbinu ya kutegesha (rhythm withdrawal) ni hatari kama ukoma. Hata hivyo kutumia kondomu katika ndoa kujikinga na VVU ni suala gumu sana labda kama mmoja wa wanandoa tayari anavyo VVU.