Wanandoa Wangapi wanatumia Kondomu kupanga uzazi?

Kila kitu kinawezekana under the sun hii pia ni njia ya kuzuia utungaji mimba na wapo wanaoitumia na wala si uvivu wa kufikiri ila ni ujuzi na ubunifu mkubwa :becky:

Mkuu Kimbweka,

Uzoefu ni kwamba kondomu ni salama sana kama wanandoa wanawasiliana vizuri kuhusu mwenendo wa biolojia ya mama. Kwa uzoefu wangu, kuanzia day7 had 17 natumia salama na huu ni mwaka wa 7 bila ajali. Ila hiyo mbinu ya kutegesha (rhythm withdrawal) ni hatari kama ukoma. Hata hivyo kutumia kondomu katika ndoa kujikinga na VVU ni suala gumu sana labda kama mmoja wa wanandoa tayari anavyo VVU.
 
Mi hata sijui inatumikaje na sijaoa na nawachoma kama kawa na sina ngoma maana napimaga kila baada ya miezi mitatu.ukimwi una baadhi ya watu damu yao haishiki na ndo maana kitaa wakanipa jina la kimichio.na kama mishedede ingekuwa ka penseli mi yangu ingekuwa imebaki kifutio.
 
Kwa karne hii ningeficha kichwa changu chini na kuuziba mdomo wangu usitamke maneno kama haya. Zamani kushughulikia watoto ilikuwa dili ila kwa siku hizi ni jambo la hatari sana kufanya huo mchezo.

Kama kweli unayo immunity, basi tuwasiliane ili utupatie damu yako ili tupate serum kwa ajili ya ku-immunize wengine.
 
Mi hata sijui inatumikaje na sijaoa na nawachoma kama kawa na sina ngoma maana napimaga kila baada ya miezi mitatu.ukimwi una baadhi ya watu damu yao haishiki na ndo maana kitaa wakanipa jina la kimichio.na kama mishedede ingekuwa ka penseli mi yangu ingekuwa imebaki kifutio.
ovyooooo
 
Kuna lile tangazo la familia K*n*om na hasa ni kwa ajili ya upangaji wa uzazi kwa Wanandoa! Nina penda kujua ni Wanandoa wangapi wanatekeleza utumiaji wa hii bidhaa maalum kwa ajili yao au ni ngamu ngamu tu kila mkutanapo???????:A S 39::A S 39::A S 39:

Hivi kweli, kwa akili ya kawaida, mpo kwenye ndoa, and of all the things: unatumia mpira wa kiume? Sijui hii akili binadamu ameipata wapi? Mke wako una-struggle kuvaa mpira? No wonder wengine wameoa lakini bado wanapiga puli!
 
Mkuu Baba E, upo?

Mbona mimi natumia? Hii ni kwa ajili ya birth control au mwenzetu una mpango wa kuhakikisha mama mayai yanaisha tumboni? Kwa kuzingatia risk ya contraceptives nyingine, kwako kondomu ndiyo njia bora zaidi.
 
Nipo Mkuu:

Mimi natumia "calendar" all along - Kama ulivyopost hapo juu hii method ni "safest".

Mipira hii ya "Msaada wa Watu Wa Amerika" yaweza kuwa na madhara huko mbeleni!
 
Hapo kaka naomba unichape shule kidogo. Kalenda unaitumiaje? Kwani hata kondomu au rhythm withdrawal zinatumia kalenda pia. Au una maana kuwa mnafunga duka wakati muda ndo muafaka (i.e during fertile period)?
 
Hivi kweli, kwa akili ya kawaida, mpo kwenye ndoa, and of all the things: unatumia mpira wa kiume? Sijui hii akili binadamu ameipata wapi? Mke wako una-struggle kuvaa mpira? No wonder wengine wameoa lakini bado wanapiga puli!

Ulikuwa unataka watumie mpira wa kike:lol::lol::lol::lol:
 
hahahah!hhahah!!!!!!!
wanaume na kukojoa nje ni uwongo asilimia 99 hawawezi its natural na si km waviviu so aliyeponda njia hii namunga mkono its lies by tself
njia nyingine mzuka bt hii ya maruhani imepanda then wajitia naplease nje mmh mh apana sjui lakin
 
halafu demu akikufuata anakuambia ana mimba yake unaruka kimanga nyie ndio mnaongeza mayatima na njia zenu za kukojolea nje

ntakutafuta nikuonyeshe si utanipa eeeh haitanasa:becky::becky::becky:
 
hahahah!hhahah!!!!!!!
wanaume na kukojoa nje ni uwongo asilimia 99 hawawezi its natural na si km waviviu so aliyeponda njia hii namunga mkono its lies by tself
njia nyingine mzuka bt hii ya maruhani imepanda then wajitia naplease nje mmh mh apana sjui lakin

Njoo nikuonyeshe naweza kukuwekea hata mdomoni ila siri yako
 
Back
Top Bottom