Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Kuishi na ndugu haijalishi ndugu wa mume au ndugu zako yataka moyo
Asilimia kubwa ya ndugu hawana shukrani
Umetusema aisee, anyway ila kiukweli ukikaa mjini especially kama mmoja either mume au mke wazazi wake wote ni kutoka kijijini na bahati mbaya huyo partner wako ndio katokamo alafu wadogo zake wote wameishia darasa la 3A hapo tegemea wageni tu kila siku vinginevyo ni kujitahidi kutoa support wakiwa huko huko maana maisha yetu watz kama wewe hujapata extended family basi wazazi wako walikuwa wanaishi maisha extended family. Kwa ujumla hii hali ipo karibu kote especially kama unakaa katika mkoa ambao mmoja wa wanandoa anatoka hapo.
Shida inakuja pale ambapo mume ndio katoka kimaisha. Familia nzima inamtegemea, mwanamke atatakiwa kuwa na busara ya hali ya juu maana automatically baada ya kuoa misaada utapungua ila ndugu hawalifahamu hilo. Hapo ndipi ugomvi unapotokea....
Wanaume wachache wanaoliweza hili.
Mwanamume akikosa msimamo kwenye masuala ya ndugu na mahusiano mengine ya namna hiyo lazima ndoa itayumba.
Kuna dada yangu alitaka kuleta mijadala ya hovyo juu ya mchumba wangu wakati huo, nilimuuliza kama kuna kikao chochote cha familia kilichokaa kumjadili mume wake kabla hawajaona. Na kwa vile hakukuwa na jambo kama hilo, nikamweleza kuwa hakuwezi kuwa na mjadala wowote kuhusu mchumba wangu. Alinuna sana ila baadaye akaanza kujivuta vuta mwenyewe.
Wanandoa lazima wakubali kuchora mistari ambayi ndugu wa pande zote hawatakiwi kuivuka hata kama ni mama mzazi.
Shida inakuja pale ambapo mume ndio katoka kimaisha. Familia nzima inamtegemea, mwanamke atatakiwa kuwa na busara ya hali ya juu maana automatically baada ya kuoa misaada utapungua ila ndugu hawalifahamu hilo. Hapo ndipi ugomvi unapotokea....
na mara zote ndugu wenye matatizoni wa upande mmoja tu, wa mume! sijaskia mwanamume analalamika shemeji zake wana matatizo, afike mgeni toka kwa mwanamume habari watazipata mpaka wasuka nywele!!
Safi.....
Wadada sie sijui kwa nini tuna wivu na wifi zetu (sijui ni wivu au ni hofu????)
yani ni shida....Nadhani mawifi na wakati mwingine mama mtu wanajisahau na kushindwa kujua kuwa baada ya ndoa nyumba ya kaka yao inakuwa mali ya mke wake. Ila wao wanakuwa wakali wakidai umiliki wa nyumba zao wakati hawataki kumwachia mke wa kaka yao apate haki kama hizo wanazotaka wao.
mambo ya kukaa na ndungu mie siwezi. hapa mwanamke unakuja alone alone. na tena wakati mie naoa mke wangu niliangalia kabisa kwao wapo wangapi. yeye second born na wapo watatu. huyo wa tatu kidume na wakati namuoa wife dogo alikuwa form six. kama ndugu tunasaidia huko huko walipo
Ndio maana ukikutana na mtu lazima atakuuliza "Kwenu mpo wangapi" alaaa kumbe huwa wanamaanisha hili!
Vipi kwa upande wa wanaume nasi tuwe tunawauliza kwao wapo wangapi ili kuepuka kuwa na mawifi wengi na mashemeji????