Wanandoa na extended family

Wanandoa na extended family

Kuishi na ndugu haijalishi ndugu wa mume au ndugu zako yataka moyo
Asilimia kubwa ya ndugu hawana shukrani

Nilichojifunza usi-entertain ndugu ambae hajui anakuja kwako kufanya nini wala tarehe ya kuondoka, ni heri hata madogo kabisa kuliko kutembelewa na ndugu either anakaribia age yako au amekuzidi wanakuwa na matatizo kibao alafu ni wazee wa ku-compare na contrast na familia zingine
 
  • Thanks
Reactions: ram
Umetusema aisee, anyway ila kiukweli ukikaa mjini especially kama mmoja either mume au mke wazazi wake wote ni kutoka kijijini na bahati mbaya huyo partner wako ndio katokamo alafu wadogo zake wote wameishia darasa la 3A hapo tegemea wageni tu kila siku vinginevyo ni kujitahidi kutoa support wakiwa huko huko maana maisha yetu watz kama wewe hujapata extended family basi wazazi wako walikuwa wanaishi maisha extended family. Kwa ujumla hii hali ipo karibu kote especially kama unakaa katika mkoa ambao mmoja wa wanandoa anatoka hapo.

Shida inakuja pale ambapo mume ndio katoka kimaisha. Familia nzima inamtegemea, mwanamke atatakiwa kuwa na busara ya hali ya juu maana automatically baada ya kuoa misaada utapungua ila ndugu hawalifahamu hilo. Hapo ndipi ugomvi unapotokea....
 
Pamoja na yote haya ya extended family ambayo hata mie sifagilii maana nilishamweka mtu mjini lakini bado nikaonekana namkwaza ila kuna asilimia chache huwa ni kukariri tu ndugu wa mke au mume hawabebeki hivi na vile maana unaweza kwenda kwa dada yako ambae ameolewa ukaishi vizuri tu alafu mtu huyo huyo ukaenda kwa kaka yako ambae ameoa ukawa tatizo hata kama hukuwa na makuu, wengine hujengewa mazingira ya kukataliwa tangu mwanzo kutokana na vichwani watu kuwa wamekariri ndugu wa mume ni pasua kichwa. Huwa najiuliza kwanini mtu kwa dada yake asiwe kikwazo alafu kwa mke wa kaka yake akawa kikwazo? (nilichogundua wakati mwingine kuna asilimia ndogo ya kinadada walishajiwekea kichwani kwamba ndugu wa mume ni tatizo kama ilivyo wengine walivyoweka mawifi ni kimeo na ukute hata hao wanaosema ndugu ni vimeo pia hata na wao wakienda kwa ndugu zao wa kiume wanaonekana kimeo
 
Shida inakuja pale ambapo mume ndio katoka kimaisha. Familia nzima inamtegemea, mwanamke atatakiwa kuwa na busara ya hali ya juu maana automatically baada ya kuoa misaada utapungua ila ndugu hawalifahamu hilo. Hapo ndipi ugomvi unapotokea....

Unajua kwanini wanaume inakuwa hivyo, ule mfumo dume wa mwanamume ndio kichwa cha familia pia wanawake kulinda heshima ya kwao wasionekane vibaya mbele ya familia ya mumewe huwa wanaji-adjust hata akienda kwa sister yao wanakuwa wanajishitukia kiaina akikaa siku mbili tatu anasepa unless kama father house awe mtu wa watu maana kuna wengine hutokea kumfagilia ndugu mmoja ama wawili wa mke wake na wanakuwa kama washikaji
 
Wanaume wachache wanaoliweza hili.

Mwanamume akikosa msimamo kwenye masuala ya ndugu na mahusiano mengine ya namna hiyo lazima ndoa itayumba.

Kuna dada yangu alitaka kuleta mijadala ya hovyo juu ya mchumba wangu wakati huo, nilimuuliza kama kuna kikao chochote cha familia kilichokaa kumjadili mume wake kabla hawajaona. Na kwa vile hakukuwa na jambo kama hilo, nikamweleza kuwa hakuwezi kuwa na mjadala wowote kuhusu mchumba wangu. Alinuna sana ila baadaye akaanza kujivuta vuta mwenyewe.

Wanandoa lazima wakubali kuchora mistari ambayi ndugu wa pande zote hawatakiwi kuivuka hata kama ni mama mzazi.
 
Safi.....

Wadada sie sijui kwa nini tuna wivu na wifi zetu (sijui ni wivu au ni hofu????)

mambo ya kukaa na ndungu mie siwezi. hapa mwanamke unakuja alone alone. na tena wakati mie naoa mke wangu niliangalia kabisa kwao wapo wangapi. yeye second born na wapo watatu. huyo wa tatu kidume na wakati namuoa wife dogo alikuwa form six. kama ndugu tunasaidia huko huko walipo
 
Shida inakuja pale ambapo mume ndio katoka kimaisha. Familia nzima inamtegemea, mwanamke atatakiwa kuwa na busara ya hali ya juu maana automatically baada ya kuoa misaada utapungua ila ndugu hawalifahamu hilo. Hapo ndipi ugomvi unapotokea....

eh ndio mujuwe kuoa sio kugegedana na malove tuu. wazee walivyokuwa wanawachagulia watu wake na familia gani kuoa ndio walikuwa wanayaona hayo....mie nilimruhusu mama yangu anichagulie mke sasa nala raha tuu
 
na mara zote ndugu wenye matatizoni wa upande mmoja tu, wa mume! sijaskia mwanamume analalamika shemeji zake wana matatizo, afike mgeni toka kwa mwanamume habari watazipata mpaka wasuka nywele!!

Kitu mnacho sahau kuwa wale wenye madimango ni wanawake yaani mawifi.
 
Safi.....

Wadada sie sijui kwa nini tuna wivu na wifi zetu (sijui ni wivu au ni hofu????)

Nadhani mawifi na wakati mwingine mama mtu wanajisahau na kushindwa kujua kuwa baada ya ndoa nyumba ya kaka yao inakuwa mali ya mke wake. Ila wao wanakuwa wakali wakidai umiliki wa nyumba zao wakati hawataki kumwachia mke wa kaka yao apate haki kama hizo wanazotaka wao.
 
yani ni shida....
 
mambo ya kukaa na ndungu mie siwezi. hapa mwanamke unakuja alone alone. na tena wakati mie naoa mke wangu niliangalia kabisa kwao wapo wangapi. yeye second born na wapo watatu. huyo wa tatu kidume na wakati namuoa wife dogo alikuwa form six. kama ndugu tunasaidia huko huko walipo

Ndio maana ukikutana na mtu lazima atakuuliza "Kwenu mpo wangapi" alaaa kumbe huwa wanamaanisha hili!

Vipi kwa upande wa wanaume nasi tuwe tunawauliza kwao wapo wangapi ili kuepuka kuwa na mawifi wengi na mashemeji????
 
Sio wote wana maanisha hivyo na Mara nyingi hili swala la kukaa na ndugu huwasumbua sana wanawake kuliko wanaume na mwanamke akiuliza hili swali ujue Mara nyingi ana maanisha kuwa hapendi ndugu.
 
extended family ni changamoto binafsi nimekulia mazingira hayo but daaa inatia uchungu inaumiza hasa kwa mtendwa any way mungu atusaidie tuendelee kuishi tuje kusaidiana hapo mbeleni
 
Shida inakuja pale ambapo mume ndio katoka kimaisha. Familia nzima inamtegemea, mwanamke atatakiwa kuwa na busara ya hali ya juu maana automatically baada ya kuoa misaada utapungua ila ndugu hawalifahamu hilo. Hapo ndipi ugomvi unapotokea....

Sasa na mwanamke mwenye akili na busara anatakiwa kujua huyu mtu ana tegemewa na ndugu zake hivyo hawezi kusumbuliwa na uwepo wao. Tatizo wengi wanataka kukatisha uhusiano wa ndugu name kaka yao na kitu ambacho hakiwezekani.
 
Mwanamume akikosa msimamo kwenye masuala ya ndugu na mahusiano mengine ya namna hiyo lazima ndoa itayumba.

Kuna dada yangu alitaka kuleta mijadala ya hovyo juu ya mchumba wangu wakati huo, nilimuuliza kama kuna kikao chochote cha familia kilichokaa kumjadili mume wake kabla hawajaona. Na kwa vile hakukuwa na jambo kama hilo, nikamweleza kuwa hakuwezi kuwa na mjadala wowote kuhusu mchumba wangu. Alinuna sana ila baadaye akaanza kujivuta vuta mwenyewe.

Wanandoa lazima wakubali kuchora mistari ambayi ndugu wa pande zote hawatakiwi kuivuka hata kama ni mama mzazi.

Kidogo kwa ndugu wengine mimi naona wanaume wanaweza kukoroma lakini si kwa mama mzazi,na mama akiongea mfano kama si mimi niliyekubeba miezi tisa utafanya hivi...basi mwanaume hata kama alikuwa na msimamo wote unayeyuka.
 
Back
Top Bottom