nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Siwezi sema sana maana sijawahi kukaa na extended family..
Ila naamini kwenye kupenda boga na ua lake...
Kama unampenda mumeo sidhani kama uta enjoy kumuoana hayuko happy...maana kama ni yeye tu ndio ametoka kwenye ukoo... unadani atakuwa na furaha kama ndugu zake wanakula mlo mmoja...? Wanaume wengine walilelewa mambo safi ila wazazi wakafa along the way...na mume ndio akabaki jicho...sasa uoni huo ni ukatili kumkataza kuwa close na ndugu zake?
Nina mdogo wangu ni stubborn sana lakini nimemsifu wamemjengea mama mkwe wake nyumba hapa town ili asiendelee kukaa kijijini; that way wame solve tatizo la kutokaa na ndugu maana huyu mdogo wangu ana ukorofi asingeweza. Na si kwamba wana ela kiivyo wamekopa yeye na mumewe...