nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Kidogo kwa ndugu wengine mimi naona wanaume wanaweza kukoroma lakini si kwa mama mzazi,na mama akiongea mfano kama si mimi niliyekubeba miezi tisa utafanya hivi...basi mwanaume hata kama alikuwa na msimamo wote unayeyuka.
Siwezi sema sana maana sijawahi kukaa na extended family..
Ila naamini kwenye kupenda boga na ua lake...
Kama unampenda mumeo sidhani kama uta enjoy kumuoana hayuko happy...maana kama ni yeye tu ndio ametoka kwenye ukoo... unadani atakuwa na furaha kama ndugu zake wanakula mlo mmoja...? Wanaume wengine walilelewa mambo safi ila wazazi wakafa along the way...na mume ndio akabaki jicho...sasa uoni huo ni ukatili kumkataza kuwa close na ndugu zake?
Nina mdogo wangu ni stubborn sana lakini nimemsifu wamemjengea mama mkwe wake nyumba hapa town ili asiendelee kukaa kijijini; that way wame solve tatizo la kutokaa na ndugu maana huyu mdogo wangu ana ukorofi asingeweza. Na si kwamba wana ela kiivyo wamekopa yeye na mumewe...
Kwa upande wangu sina mtu ambaye anaweza kuingilia familia yangu nikamwacha. Nawashauri wanaume waache woga kwa mama zao kwani ndiyo mwanzo wa matatizo kwenye ndoa zao!
Mwanamume akikosa msimamo kwenye masuala ya ndugu na mahusiano mengine ya namna hiyo lazima ndoa itayumba.
Kuna dada yangu alitaka kuleta mijadala ya hovyo juu ya mchumba wangu wakati huo, nilimuuliza kama kuna kikao chochote cha familia kilichokaa kumjadili mume wake kabla hawajaona. Na kwa vile hakukuwa na jambo kama hilo, nikamweleza kuwa hakuwezi kuwa na mjadala wowote kuhusu mchumba wangu. Alinuna sana ila baadaye akaanza kujivuta vuta mwenyewe.
Wanandoa lazima wakubali kuchora mistari ambayi ndugu wa pande zote hawatakiwi kuivuka hata kama ni mama mzazi.
Mfumo huo wa kijamaa na undugu umeshapitwa na wakati..... Sehemu nyingi duniani hakuna tena kubebana kama vile mtu anakilema!! maLovers wanaishi wawil na vitoto vyao kama wamezaa!!
Sikuona sababu ya wewe kum attack mtoa mada wakati kauliza swali na wali hili swala haliitaji mtu kuwa amelifanya ndio alijadili maana kila mtu anajua kabisa kuna ukweli! Pengine hukumsoma vyema!
Back to topic!
Ukweli ni kwamba wanaopata shida kwenye hili ni wanawake hasa wanapo kutana na ndugu wakorofi!
Lakini mara nyingi huwa najiuliza kwanini huwa linawasumbua wanawake hili swala hata kabla ya kuingia kwenye ndoa? Na ni Ukweli ulio wazi wanawake walio wengi hawapendi kuishi na ndugu wa mume hata kama hawakuwai kuwa kosea!
Pengine ni kweli ina hitaji kifua na uvumilivu sana kuishi na ndugu na watu tuna mifano mingi unaona mwanamke wanapo kuja ndugu wa mume anachukia Lakini wa kwakwe hata wakikaa hapo mwaka hana shida!
Wanawake muda mwingine wana sahau kabisa kuwa mtu anajengwa na aina ya familia aliyo kuwa nayo! Na mara nyingi swala la kuishi na ndugu huwa haliwasumbui sana wanaume hata kama wangekuwa wa mwanamke!
Kibaya zaidi baadhi ya wanawake wanakuwa wameshajenga kabisa kichwani kuwa ndugu wa mume wana gubu ,chuki hivyo anaweka kichwani na huwezi kumbadilisha na kweli hataki kuwaona!
Kwa upande mwingine kama mwanaume una kuwa sio makini Ndugu wanaweza vunja ndoa maana Kuna wengine kabisa na ni ukweli ni wakorofi na wana gubu hivyo kuishi nao ina hitaji kifua na uwe mtu wa kupuuza na hili lina washinda wana wake wengi!
Kuna baadhi ya wanawake wanafikiri wanaweza kuwatenganisha ndugu wa mume na mume wake anasahau kabla ya kuolewa hao ndugu walikuwepo na wengine wana diriki kwenda hadi kwa waganga kuhakkisha Mume ana wachukia ndugu zake!
Hivyo katika mitihani ambayo wanawake wengi wanafeli na wengine walishajitolea kufeli ni kuishi au jinsi ya kuishi na ndugu hasa wa Mume!
Mwanamke ana hitaji kifua,uvumilivu na busara kuishi na ndugu hasa wa Mume!
Sio wote wana maanisha hivyo na Mara nyingi hili swala la kukaa na ndugu huwasumbua sana wanawake kuliko wanaume na mwanamke akiuliza hili swali ujue Mara nyingi ana maanisha kuwa hapendi ndugu.
ni kuvumiliana tu no one is perfect,na tusiwe wepesi kushtakishtaki kila kitu vingine ni vya kuachana navyo na kukubali kuwa ni mapungufu ya huyo ndugu,kushtakishtaki sana mwisho wa siku utaonekana wewe ndio mwenye matatizo na si hao ndugu,mwenzako anamjua ndugu yake vizuri kuliko hata wewe,akikufanyia visa na ukawa unam treat vizuri mwisho ya siku atajirudi mwenyewe na kujiona mjinga
Sio wote watakaomaanisha kuwa hawapendi ndugu, bali ni katika kufahamu tu.
Vilevile kuna ndugu wanadiriki kwenda kwa mganga kuhakikisha mume anatengana na mke tena ukute ndugu yao ana mali nyingi basi huwa wanahisi.mke anafaidi sana
Tatu,
Mimi nitajaribu kuliweka swali lako ktk mifano ambayo sote humu tunaifahamu. Kisha tuangalie jinsi gani imetugusa na wahusika wake.
Mfano Mzuri ni huu wa Marekani:-
Ndani ya Chama Republican kuna viongozi kibao ambao wanapinga vita ya Iraq, wapo wanaoona fedha zinatumika ovyo, wapo wanaoona kuwa sasa chama kinapoteza mwelekeo, lakini wote wanapokutana kama chama hujadili jinsi ya kujiimarisha kichama ikiwa ni pamoja na wananchi kama tunavutwa na UONGO wao. Na mara nyingi utaziona dalili za utengano inapofikia uchaguzi nje ya hapo wote husimama nyuma ya rais kwa sababu sera zake ndizo wananchi walizichagua. Unaposimama nje ya rais na kumpinga hali yeye kachaguliwa na wananchi walio wengi kwa sera hizo mbovu basi wewe ndiye mwenye walakin.
Pili, chukua pia ktk makampuni yetu tunapofanya kazi huwa tunakuwa na mikutano ambayo inahusu Kampuni na maendeleo yake.Tutazungumzia Uzalishaji, mapato, Uhusiano wa ndani na nje, matatizo ya kazini na kadhalika pia focus ya mkutano inaweza kugusia maisha ya wateja wetu ktk uwezo wao wa kuendelea kununua mali yetu. Now, ikiwa tunauza unga ama madawa feki nadhani tutafurahia kila haliyao inapozidi kuwa mbaya yaani adicted zaidi..Kwa hiyo mikakati yetu itazidi kuwa ktk njia ya kuboresha imani za watu wanaoendelea kununua mali zetu feki.
Hivyo basi tukubali ya kuwa Profit na CCM ktk biashara hii ni sisi kuendelea kununua sera zao BOMU. Na JM anafahamu toka alipokataliwa kugombea na kwa bahati mbaya wananchi tumechagua mwakala wa madawa toka India (JK) kutu supply. Sasa JM atapinga kitu gani hali yeye anafahamu wananchi kwa asilimia 80 wanataka madawa feki kutoka India yake yeye yanaonekana yamekwisha kuwa expired?.
JM na wengineo inaweza kuwauma sana kuona sasa hivi tumepoteza mwelekeo, lakini wananchi wamechagua sera bomu, yeye na ukweli wake alionekana mwongo na hafai.
na mimi namshauri akae nje kabisaaa!, mara ngapi Warioba amesimama na kuweka madai muhimu sana kwa niaba yetu na kazushiwa scandal ambazo nyie wananchi mmechagua kuzikubali na kumpa kono la uso, tumemuweka vidole vya macho! Je, sio sisi tuliosema kaa pembeni mwizi wewe ulikuwa wapi wakati wote wa Mwinyi. Yaani wepesi sana kurudisha calender nyuma hali tatizo linalozungumziwa lipo machoni petu.
Tabia asilia ya Mtanzania!...Utafumania mkeo basi hadithi hiyo haitakwisha hali bado unaishi naye ndani kama mkeo. Can't forget or forgive, yet we won't let her go!
Ndugu zangu tutasema sana lakini yote tumeyataka wenyewe na lazima tuubebe mzigo huu kwa tamu na machungu yake.. JK tumemchagua wenyewe kwa sera zake feki, na anachofanya JK ni kutuletea ujazo wa ahadi zake feki!..
Nitarudia kusema tulipanda mahindi sasa tunavuna mahindi. JM hawezi kubadilisha mahindi kuwa mpunga ikiwa sisi tulisema tunataka kuvuna mahindi. He knows we were wrong then .. na anafahamu we are still wrong now.
My dear nyumba kubwa Shukuru huyo wako ana moyo wa kuridhika,wangu najitahidi kadri niwezavyo lakini wapi,sichoki na sitachoka nitafanya zaidi.
Alikuwa kwa mke mwenzangu wameshindwana hadi Hg kafukuzwa,nikaona nimchukue na mimi maana kule yalitokea maneno usipime familia nzima ilichafuka,Wifis wakawasha maneno balaa.
Nimejifunza kupitia makosa ya mwenzangu,najitahidi kadri niwezavyo,namtreat kama queen kuliko hata mama yangu mzazi still vijineno bado,navidharau tu kama sioni. Kubwa zaidi yuko hapa kwa matibabu now its six months anasumbuliwa na pressure,hakuna hospital yoyote kubwa ya hapa Dsm hatujaenda,hakuna kipimo hatujampima,vyote yuko safi,kidogo ilionekana ana cholesterol,na vifupa vya shingoni vimejikunja kidogo coz ya umri but Dr. Kasema si shida sana atumie dawa ya kuchua tu na kuna vidonge alipewa,kuna clinics fulani upanga za wahindi nako tumeenda,dawa gani sijui za pressure hajatumia,but leo yuko poa kesho bad unampima pressure unakuta normal tunashindwa hata kuelewa nini kinamsumbua,dakika kacheka dk kazidiwa,mpka sasa nimeacha kwenda hata kazini nimuhudumie maana nikitoka tu hata kama nimemuacha mzima huku nyuma ntapata simu kazidiwa ukipima pressure iko normal au imezidi kidogo tu,nikishinda home no problem. Namuomba Mungu tu anivushe juu ya hili.
Wamama wengi wakizeeka wanapenda kudeka; wanakuwa kama watoto hasa wakiwa kwa watoto zao wa kiume...hata mimi mama mkwe huwa analalamika kuumwa lakini akienda hospital hawaoni kitu...kuna doctor mmoja akasema ni uzee...ilikuwa shughuli...kila siku anamlaani yule daktari...ila na miye nilimuona ni careless unajua ukimwambia mtu uumwi ni uzee maanake subiri kufa siku zimeisha...
Mimi kumridhisha nilikuwa nabadili hospitals tu...tena namsaidia kumlaani yule daktari...
Afu wanaume bana mume wangu yeye ni kama hapendi sana mama yake aje aje pale home...lakini at the same time akija nika mtreat vizuri unamwona anvyofurahi...
Nadhani si kwamba hawataki ndugu zao ila wanaogopa conflict na wake zao...wanakupima tu...sasa ukitaka kutumia power vibaya na wewe unapigilia msumari...

Mama yangu yeye yuko dar na ana umri kidogo sawa na mama mkwe ila yeye udongo mzuri bado ana nguvu...basi kuna siku alikuja pale kwangu eti akamshawishi alale pale...wakalala wote chumba kimoja wameshakuwa mashoga...wakashinda wanaongelea twist za sijuhi 1940s wakiwa vijana...its so lovely...mama yangu yeye wala si mtreat kihivyo kwa kuwa ni mwelewa...na wala a mind...
Hila nashukuru hakuwahi kunifanya nisiende job...kwanza kazi yangu hainibani lakini nilikuwa nahakikisha sishindi home...maana ndio mwanzo wa mikwaruzo...tunaonana kwa masaa na kuongea mambo mazuri tu...