Wanandoa - Huku ni kupitiliza!

Wanandoa - Huku ni kupitiliza!

BABA E's

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
354
Reaction score
137
  1. Yaani wewe baba/mama upo na mchepuko unaingia gesti huoni hata aibu pete yako ya ndoa inaonekana kidoleni!!!
  2. Yaani wewe baba/mama mwenye ndoa unaingiza mchepuko kwenye chumba unacholala na mkeo/mumeo!!!
  3. Yaani wewe baba/mama uliyepo kwenye ndoa unamsifia rafiki yako kuchukua mchepuko wakati unajua kabisa na yeye yupo kwenye ndoa!!!.
  4. Yaani wewe baba/mama mweye ndoa unachepuka na haki elimu!!!


AIIIIBU YAKO HATA WEWE!!!​
 
mhepuko naye apate haki yake yani nyie mle raha sis je? tugawane raha.
 
Namba 3 inanihusu. Mshikaji anapiga mchepuko mpya Karibu kila siku, na ukijaribu kumshauri anakwambia LIFE IS TOO SHORT. Sijui linangoma? Halafu eti dume alishaacha kutumia longtime kitambo.
 
Mi huwa nashangaa sana pale mtu anapomsifia ndugu/rafiki yake kuhusiana na mchepuko mbele ya mke/mume wake. Yani ni kamavile anakuwa anatangaza kuwa "ni poa tu, hata sisi tutafute kila mtu na wake".
 
Kwani nini kwani kuna mtu anatumia ya mwenzie?????
 
Mi huwa nashangaa sana pale mtu anapomsifia ndugu/rafiki yake kuhusiana na mchepuko mbele ya mke/mume wake. Yani ni kamavile anakuwa anatangaza kuwa "ni poa tu, hata sisi tutafute kila mtu na wake".

Yaani ni AIBU!
 
Namba 3 inanihusu. Mshikaji anapiga mchepuko mpya Karibu kila siku, na ukijaribu kumshauri anakwambia LIFE IS TOO SHORT. Sijui linangoma? Halafu eti dume alishaacha kutumia longtime kitambo.

Huyo anangojea ulimwengu umfunze!!, tumuombee mkewe ajinasue.
 
Ni kitu kibaya sana unapokuwa kwenye ndoa na kuanza kuchepuka sasa kwanini uliamua kuoa?
 
Mi huwa nashangaa sana pale mtu anapomsifia ndugu/rafiki yake kuhusiana na mchepuko mbele ya mke/mume wake. Yani ni kamavile anakuwa anatangaza kuwa "ni poa tu, hata sisi tutafute kila mtu na wake".
Hahahahahahaha una maanisha mkuu wanapeana go ahead
 
Back
Top Bottom