Wanandoa changieni hii

Tatizo hakuna mtu anaekubali kushindwa si mume wala mke kila mmoja anajiona mjuaji
 
unajua lahaja? huku kwetu zanzibar m2 alie achwa huwa anaitwa mjane na mtu aliefiwa na mume pia huitwa hivyo hivyo so usowe na tabia ya kucremu sawa mkuu soma ujue
Wingi wa watu wanaoshangaa hili itoshe kutujuza kuwa huko kwenu ZNZ mna kiswahili chenu tofauti na cha huku kwetu.
Ahsante kwa kunijuza!!!
 
Mimi binafsi naona anaengia kwenye ndoa na ghafla ikafa yawezekana hawana uvumilivu.
The best thing to do kwanza mjue mwenzio vya kutosha hii itakupa nafasi ya kuweza kukabili ups and down nyingi na kua mvumilivu
Pili usiingie kwenye ndo kama fashion
Tatu Penda kuresolve issue zenu wenyewe bila kushirikisha watu.
Nne kabla hujachukua maamuzi ya hovyo fikiria ungekuwa wewe ndio unafanyiwa ungejisikiaje??
Ni hayo tu
 
Ni kuzuia wanaume wasife tu,je hilo liko ndani ya uwezo wako?
Utafiti mdogo tu hata kwa kuhoji watu watatu tu inaweza kukusaidia kuleta mada zinazoleta maana hapa jukwaani.
Ujane na ndoa kuvunjika wapi na wapi?

Amejinyea
 
kama nyinyi mnasema mjane ni wanamke aliefiwa na mume je mwanamke alieachika anaitwaje?

Hahaha...! Nimekumbuka kitambo jamaa aliuliza swali " dume la kuku linaitwa jogoo,dume la mbuzi ni beberu,dume la mbwa je linaitwaje kwa kiswahili?
 
Ni kurekebisha tofauti zao tu hamna jengine...

Na kuna tabia nyengine ni za kuzichukulia poa fanya kama vile unapuuza mfano anaependa kulalamika kila kitu hana shukraan wee mchukulie kama anaimba tu au chizi tu anaropokwa si kuna msemo mbwa ukimjua jina hakupi tabu...

Tazama mazuri mnayafanyiana hata kama ni robo ya maudhi.......

Ila yote tisa kumi ni kitu SUBRA wengi hili wanashindwa utakuta watu wanaachana kwa kosa la kipuuzi kabisa.....na ukitaka mtu perfect heeeeeeee jitahidi kusali na kufanya mema utamtapa in heaven lol...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kule pemba mjane ni kijana asie na mke

Kiswahili hakijambo nacho...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kumbe ni wanaume pia wajane uuh
mi najua mjane ni mwanamke tu mwanaume ana jina lake
haya nimeelewa....
 
Mimi binafsi naona anaengia kwenye ndoa na ghafla ikafa yawezekana hawana uvumilivu.
The best thing to do kwanza mjue mwenzio vya kutosha hii itakupa nafasi ya kuweza kukabili ups and down nyingi na kua mvumilivu
Pili usiingie kwenye ndo kama fashion
Tatu Penda kuresolve issue zenu wenyewe bila kushirikisha watu.
Nne kabla hujachukua maamuzi ya hovyo fikiria ungekuwa wewe ndio unafanyiwa ungejisikiaje??
Ni hayo tu

asante mkuu nimekusoma
 
Back
Top Bottom