View attachment 114499
kuna hii pia niliiona mahali sijui ila inaitwaje,ila na yenyewe naiona nzuri pia inaonyesha wanandoa hawa wana upendo
bado ndani ya ndoa yao.
Mi namba 1 ni special kwa mechi za ugenini tu
Huo ndio uhalisia wenyewe he he heNimeipenda hii![]()
keshazoea.....Hahah shem akilala hivyo kwa masaa manne lazima kesho umkande mgongo.
hii pia bomba sanaView attachment 114499
kuna hii pia niliiona mahali sijui ila inaitwaje,ila na yenyewe naiona nzuri pia inaonyesha wanandoa hawa wana upendo
bado ndani ya ndoa yao.
Mie napita ngoja nisubiri wataalam kin Heaven On Earth [Hoe] ama jembe letu MMU
hii pia bomba sana