Wanandoa: Angalia hizo picha

Wanandoa: Angalia hizo picha

Namba 7,kifua cha mume ndo mto..nalala mpaka najisahau
 
hazina maana yoyote maana mimi nuimelala hizo style karibia tano au zaidi hapo
 
Hebu msidanganyane wengine wanalala kama pono hata kama mlikumbatiana mkianza kuutafuta usingizi mkiamka mwengine miguu kamuwekea mwenzie kichwani lol

Haaahaaaa duh ni kwl mbwe2 pale mkianza kulala ukichanganya ucngz miguu juu ya kichwa
 
Meaning_of_Sleeping_Positions_10%255B1%255D.jpg
Nimeipenda hii

hahahaaa......... Naona bibie katawala kitanda!
 
namba 5 na 8 ndiyo ya wengi wakiwa kwenye deep sleep.usingizi ukipungua wanarejea kwenye 6 na 7.hahahaha!
 
Ha!ha!ha! happiness win we nae unakaba mpaka penati subili mwisho wa wiki hii wausika watazungumza kilichotokea na sababu na amekuwa wa ngapi pia itabidi waseme pia.



ha ha haaaa inaonekana ulishindwa kumpasha joto; baridi limemfanya ashindwe vibaya! hata kwenye kamela hakuonekana loh, majanga. Pole bana!
 
Back
Top Bottom