Waunde military wing, political wing wanayo.Nini kifanyike?
Madenge nimekuelewa sana hata wale Covid 19 ni wabunge feki lakini bunge likivunjwa watapata mafao yao.Unaoitwa waraka feki unasambaa kwa kasi ya 5G na umepokelewa vema na wananchiView attachment 3324007
yaani uropokaji ndio maarifa?Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi?
Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo?
Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na kupisha uchunguzi
Ikithibitika aliyekutuhumu kakubambikia kesi, ambayo ingekuwa adhabu yako anaibeba yeye!
Hivi kwa akili nyepesi kabisa.. Jeshi la police halijui alipo Mdude mpaka liwaombe msaada wananchi? Na je wananchi wakitoa taarifa zinafanyiwa kazi na kupewa matokeo?View attachment 3323993
🤣🤣🤣🤣🤣yaani uropokaji ndio maarifa?
that's nonsense gentleman 🐒
Tulishasema siku nyingi tukabezwa, serikali haitaki kuboresha elimu kwasababu ya hofu kuwa wananchi wakielimika basi viongozi mbumbumbu hawataweza kuwatawala ndiyo maana hivi sasa wako busy kununua PhD ili kuinua status huku vichwani wakiwa watupu.Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo?
Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na kupisha uchunguzi
Ikithibitika aliyekutuhumu kakubambikia kesi, ambayo ingekuwa adhabu yako anaibeba yeye!
Hivi kwa akili nyepesi kabisa.. Jeshi la police halijui alipo Mdude mpaka liwaombe msaada wananchi? Na je wananchi wakitoa taarifa zinafanyiwa kazi na kupewa matokeo?
Wenye akili hawana ajira, wajinga ndio wako madarakaniJe ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi?
Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo?
Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na kupisha uchunguzi
Ikithibitika aliyekutuhumu kakubambikia kesi, ambayo ingekuwa adhabu yako anaibeba yeye!
Hivi kwa akili nyepesi kabisa.. Jeshi la police halijui alipo Mdude mpaka liwaombe msaada wananchi? Na je wananchi wakitoa taarifa zinafanyiwa kazi na kupewa matokeo?View attachment 3323993
Haya, hiki ni nini kama sio shambulio la makusudi na la hatari kwa utu wa mtu?!!! Tunatangaziwa huyu ndo amemteka mdude kwa ushahidi upi aliouweka?!!! Au Wana maugomvi yao ameamua amharibie kupitia Huku?!!!! Mtu kama huyu anayetafuta ugomvi binafsi na watu kwa sifa tu ya kuungwa mkono na kupigiwa makofi na nyumbu, hususani wa jf, akipyambyika basi ilaumiwe serikali?!!!!! Ahsante Mungu sina mamlaka, naona dhahiri Kuna ungese ungese flani ningeumaliza kinamna yake kweli kweli......kama Duterte vile!!!!!
Kajitokeza kwa utashi wake au kwa shinikizo la waumini waliokerwa na ukimya wake?Kiongozi wa kiroho unapokosa kuaminika na waumini wako.. Tambua Mungu ameshakukataaView attachment 3324002
🤣🤣🤣🤣Tulishasema siku nyingi tukabezwa, serikali haitaki kuboresha elimu kwasababu ya hofu kuwa wananchi wakielimika basi viongozi mbumbumbu hawataweza kuwatawala ndiyo maana hivi sasa wako busy kununua PhD ili kuinua status huku vichwani wakiwa watupu.
Kwa nyakati hizi mambo ya kutumia mabavu yamepitwa na wakati, kinachoendesha dunia ni teknolojia, hao wanaotumwa na wakubwa kutenda uovu ni kama wanatembea gizani ila ipo siku kila kitu kitaanikwa
Ndo maana mbowe yupo kimya, anajua unyumbu wa walipokuwa nyumbu wake; ukiongea shida, ukikaa kimya shida!Kajitokeza kwa utashi wake au kwa shinikizo la waumini waliokerwa na ukimya wake?
Mkuu kuna mzee huko Mbeya amemtaja, tafuta kuna uzi humu wenye video kabisa na hata wao polisi hawajakanusha kwakuwa aliwapelekea taarifa in advanceHaya, hiki ni nini kama sio shambulio la makusudi na la hatari kwa utu wa mtu?!!! Tunatangaziwa huyu ndo amemteka mdude kwa ushahidi upi aliouweka?!!! Au Wana maugomvi yao ameamua amharibie kupitia Huku?!!!! Mtu kama huyu anayetafuta ugomvi binafsi na watu kwa sifa tu ya kuungwa mkono na kupigiwa makofi na nyumbu, hususani wa jf, akipyambyika basi ilaumiwe serikali?!!!!! Ahsante Mungu sina mamlaka, naona dhahiri Kuna ungese ungese flani ningeumaliza kinamna yake kweli kweli......kama Duterte vile!!!!!
Duh 🙄!Wenye akili hawana ajira, wajinga ndio wako madarakani
Nyie mnajiona mnaishi juu ya vichwa vya watu wengine.....muda umekaribia, mtaburuzwa mitaani kama mbwa mwizi mchana kweupe.yaani uropokaji ndio maarifa?
that's nonsense gentleman 🐒
calm down gentlema, ramli ni nonsenseNyie mnajiona mnaishi juu ya vichwa vya watu wengine.....muda umekaribia, mtaburuzwa mitaani kama mbwa mwizi mchana kweupe.

Hili ni jambo jema. Hawa watarudisha nchi ikae kwa amani.Waunde military wing, political wing wanayo.
Kama ni kweli kizazi chake kitakuwa ni cha laana. Kaka unafamilia kweli? Mke wa mdude anamlilia mume wake. Hakumuomba Mungu awe mjane na usichana ule. Mungu alimpa mume.