Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,774
- 8,103
Johnthebaptist anakuja kutolea ufafanuzi hili!!Kama ni kushangaa tushangae wote kama taifa kishapo? Business as usual🥺😭View attachment 3323998
Johnthebaptist anakuja kutolea ufafanuzi hili!!Kama ni kushangaa tushangae wote kama taifa kishapo? Business as usual🥺😭View attachment 3323998
Kila Ubaya UtalipwaJumbe kama hizi za wananchi kwa mamlaka hazina dalili njema kwa afya ya taifa.. Tukiwa na maono ya mbali ni muhimu sana kutafuta suluhu ya harakaView attachment 3323994
Ndiyo hao wanywa mchuzi wa bendera ya chamaKaka unafamilia kweli? Mke wa mdude anamlilia mume wake. Hakumuomba Mungu awe mjane na usichana ule. Mungu alimpa mume.
Hana maana nilimuona ana desrve heshima lakini kumbe naye ni chumia tumbo tuShinikizo