Wakuu,
Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi
-----------
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamepongeza uamuzi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kufungua milango ya maridhiano na makundi mbalimbali, wakisisitiza kuwa hatua hiyo ndiyo njia sahihi ya kuliponya taifa kwa kukusanya maoni ya wengi na kuyashughulikia kwa ufanisi