Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Huwezi kupotosha ukweli. Najua ujui nenda kasome ubunilizi.
Unaandika vitu gani we dada..!?? mbona hueleweki!? hebu tulia na upange hoja zako ueleweke..
Huwezi kupotosha ukweli. Najua ujui nenda kasome ubunilizi.
Halima mdee sawa na mzingo wa kuni kawe katibu wa Saccos yako.analijua hilo ndo maana anataka kumleta mchumba wake wa kihaya
Ni kweli kabisa, mama Mdee ametuchusha.Wakazi wa Kawe wamejikuta katika wakati mgumu na kujuta kwa maamuzi waliyo yafanya mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu. Kwa kilio chao kilianza hapo kwa kuwa walimuweka mmoja wa wamiliki wa saccoss maarufu nchini Tanzania, Halima James Mdee.
Waswahili walisema uwezi kupima kina cha maji kwa kutazama kwa kuwa wakazi wa Kawe walilisahau hilo leo wanajuta kwa nn walifanya maamuzi ya kipumbavu kiasi kile kwani wamekuwa kama chief magongoo. Leo hii Kawe ya Rita Mlaki ni bora kuliko Kawe ya Halima.
Kwanza yale yote ambayo amewahaidi hakuna hata moja ambalo ametimiza, watu wanaishi katika maisha ya tabu kwani hata mazingira ya Kawe ni utata mtupu.
Ushauri wangu kwa wakazi wa Kawe kuwa ukiona mtu ambaye anampinga hata Mungu wake ambaye amemuumba basi ujue kuwa mtu huyo ana matatizo ndani ya kichwa chake hivyo mlifanya dhambi kubwa sana ndugu zangu wa Kawe.
Ebu cheki hayo mazingira
Ok njaa kwa binadamu ni kawaida na kuhusu suala la njaa ndio lilolomfanya Mbowe aende Ikulu. Pia njaa ndo iliyomfanya dr slaa kujiunga na Saccos japo chama cha siasa anakijua
Mwanzisha mada anafikiri yeye ana akili sana kuzidi wananchi wanaoishi jimbo la Kawe.
Ushaanza kuweweseka wewe Mwache kamanda Mdee apige kazi kwa uhuru
Ushaanza kuweweseka wewe Mwache kamanda Mdee apige kazi kwa uhuru