Nashukuru kwa kujua mawazo yakk kwani hata wenye mawazo mgando pia wana haki ya kutoa mawazo yao. Ebu nitajie kitu gani ambacho mdee amefanya unajivunia nacho?
Hapa ni Buguruni.....sijui nako ni jimbo la CHADEMA?
![]()
maccm acheni ushenzi, hivi kila kitu anafanya mbunge tu ? Hivi Temeke, Ilala, Kinondoni , Morogoro Mjini ziko chini ya Chadema ?
Mbona zimejaa uchafu ?
Acha siasa za rejareja
Wakazi wa Kawe wamejikuta katika wakati mgumu na kujuta kwa maamuzi waliyo yafanya mwaka 2010 katika uchaguzi mkuu. Kwa kilio chao kilianza hapo kwa kuwa walimuweka mmoja wa wamiliki wa saccoss maarufu nchini Tanzania, Halima James Mdee.
Waswahili walisema uwezi kupima kina cha maji kwa kutazama kwa kuwa wakazi wa Kawe walilisahau hilo leo wanajuta kwa nn walifanya maamuzi ya kipumbavu kiasi kile kwani wamekuwa kama chief magongoo. Leo hii Kawe ya Rita Mlaki ni bora kuliko Kawe ya Halima.
Kwanza yale yote ambayo amewahaidi hakuna hata moja ambalo ametimiza, watu wanaishi katika maisha ya tabu kwani hata mazingira ya Kawe ni utata mtupu.
Ushauri wangu kwa wakazi wa Kawe kuwa ukiona mtu ambaye anampinga hata Mungu wake ambaye amemuumba basi ujue kuwa mtu huyo ana matatizo ndani ya kichwa chake hivyo mlifanya dhambi kubwa sana ndugu zangu wa Kawe.
Ebu cheki hayo mazingira
mmm,kumbe kufanya usafi pia ni kazi ya mbunge,nilijua ni msimamizi wa haki ya wananchi.
Hongera Mhe Mnyika kwa kupiga deki barabara ubungo majuzimmm,kumbe kufanya usafi pia ni kazi ya mbunge,nilijua ni msimamizi wa haki ya wananchi.
Hapa ni Buguruni.....sijui nako ni jimbo la CHADEMA?
![]()
Huoni aibu kupiga kampeni 2013?Lol!Halima mdee sawa na mzingo wa kuni kawe katibu wa Saccos yako.analijua hilo ndo maana anataka kumleta mchumba wake wa kihaya
walidhani mtu akiwa anaongea kwa kilele anafaa kuwa mbunge kumbe ni garasa poleni watu wa kawe lakini uchaguzi unakuja mtajua cha kufanya.
Halima mdee sawa na mzingo wa kuni kawe katibu wa Saccos yako.analijua hilo ndo maana anataka kumleta mchumba wake wa kihaya
Kwa thread hii hata lumumba hawakup buku 7 yao
Halima mdee sawa na mzingo wa kuni kawe katibu wa Saccos yako.analijua hilo ndo maana anataka kumleta mchumba wake wa kihaya