Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,252
Duh yaani huko hakuna watu wenye simu? Sio lazima kila mwananakijiji awe na simu ili waweze kumfikishia ujumbe Mbunge na obviously wapo watu wa huko wenye access ya mtandao (kama wewe) chukua opportunity kumweleza Mbunge shida zako.
Na hilo la kuchukia kuhamisha offisi ni BS politics, kama itamsaidia kufanya kazi who cares offisi iko wapi.
Mpeni kijana wa watu muda.
Na hilo la kuchukia kuhamisha offisi ni BS politics, kama itamsaidia kufanya kazi who cares offisi iko wapi.
Mpeni kijana wa watu muda.