Wananchi wa Bumbuli waanza kumchoka January Makamba

Duh yaani huko hakuna watu wenye simu? Sio lazima kila mwananakijiji awe na simu ili waweze kumfikishia ujumbe Mbunge na obviously wapo watu wa huko wenye access ya mtandao (kama wewe) chukua opportunity kumweleza Mbunge shida zako.
Na hilo la kuchukia kuhamisha offisi ni BS politics, kama itamsaidia kufanya kazi who cares offisi iko wapi.
Mpeni kijana wa watu muda.
 
Tanzania's election

Promises, promises
Tanzania is still a backwater compared with its Kenyan neighbour to the north

Oct 28th 2010 | BUMBULI | from the print edition

20101030_map004.jpg

Makamba (right) networks on the mount

THE parliamentary campaign in Bumbuli, a constituency of 167,000 souls in the mountainous Lushoto district of Tanzania, is a mixture of ancient and modern. January Makamba, the candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), stands for the modernists.

In designer shirt and shoes, he hikes half way up a mountain to a remote village to solicit votes. The villagers are demoralised, with no electricity or road and a poor crop. Down below, a volunteer updates Mr Makamba's Facebook page on a wireless internet connection.

Within the CCM, Mr Makamba is in a minority. Educated in the United States, the son of a CCM power broker, he recently quit his job as a speechwriter for Tanzania's president, Jakaya Kikwete, to run in Bumbuli. He wants Tanzania to enter the world market.

He hobnobs with Western philanthropists. A copy of "The Rational Optimist", a booster of global capitalism, lies on the back seat of his campaign truck.

But now he must prove himself on the ground. He showed his steel by ousting a long-serving CCM parliamentarian. It helps that he comes from the main town, Lushoto, and lived there as a boy. Up in the village he promises fertilisers, medicine, more teachers. Electricity? No, too costly.

Related topics
Bumbuli is among Tanzania's most densely populated constituencies. Most of its people farm tiny plots too small to be subdivided further. But Mr Makamba has a plan. He wants to borrow $10m from Wall Street philanthropists, to be repaid in ten years. The sum, he says, will be invested in east African treasury bonds and stocks, in the hope of dividends producing $700,000 a year to invest in Bumbuli.

20101030_mam920.gif

Some of the cash would help farmers package their fruits and vegetables. Mr Makamba dreams of refrigerated lorries owned by the community leaving daily at dawn for Dar es Salaam and Nairobi with "Fresh from Lushoto" produce.

Another project aims to parcel a scenic bit of the constituency and sell it to a university to set up a campus for 5,000-odd students. Turkish investors, he claims, are interested.

It is early days, but a youthful tilt at the presidency in 2015 by Mr Makamba, or someone like-minded, is conceivable. If he took Tanzania's helm, the country might sail ahead.

As it is, its economy has been breezing along at 6% this year, faster than Kenya's to the north, yet it still feels slothful by comparison.

It has been sliding downwards in the rankings as a spot for investors. Corruption is rife. Crime is up. Dubious businessmen enjoy positions of influence in the ruling party.

Though he has failed to fulfil his early promise, President Kikwete will almost certainly get another five years in the job. Fond of technology and foreign travel, he is known among his ministers as "Mr Beep" for his habit of texting them to show he cares. But he has seemed wary of radical reform.

He is sentimental about Tanzania's socialist past. Most foreign aid-givers, on whom the country still depends for half its budget, are still prepared to give him the benefit of the doubt.

In his expected second term, Mr Kikwete is likely to promote gas exploration in the south, expand mining, and try, as ever, to improve services.

"Despite a tripling in the education budget, large majorities of children remain illiterate and innumerate," says Rakesh Rajani, a Tanzanian who has researched the performance of primary schools. The country still has far fewer skilled workers than neighbouring Kenya.

The opposition may do a bit better than before but is fragmented. Moreover, the army, which thinks it is must protect the ruling CCM, has tried to bully it-and independent journalists.

Two opposition parties stand out. Chadema is strong among richer smallholders, most of whom belong to the Chagga people around Mount Kilimanjaro. The Civic United Front is backed by quite a few Muslims on the coast and in the autonomous island of Zanzibar.

But they are too weak to topple the all-powerful CCM. Mr Kikwete and Tanzania will gently potter along. If the likes of Mr Makamba managed to take over the CCM, things might pick up a lot faster. But not, it seems, just yet.

SOURCE: Tanzania's election: Promises, promises | The Economist

UJUMBE HUMU:

January Makamba na mkopo wa dollar za ki-Marekani milioni 10 (Tsh 15 bilioni) kutoka kwa wafadhili kutoka Wall Street, New York, Marekani kwa jina la kuwaletea nayo wananchi wa Bumbuli (167,000) maendeleo.

Kwa mujibu wa huyu mwana-CCM mbunge chipukizi, anategemea kuingiza hizo fedha kwenye soko la fedha la Africa Mashariki na kujigemea kitenesi kiasi cha USD 700,000 (Tsh 1.05 bilioni) kila mwaka kuleta maendeleo kwa kuwawezesha wananchi kuuza nje ya nchi matunda kibao toka kijijini hapo na kujenga mazingira mazuri kwa shughuliza utalii kwa faida ya jamii nzima ya Jimbo la Bumbuli.

Endapo Makamba Junior atakua ni mkweli kwa kila kitu alichowaambia Wamarekani kwenye gazeti lao basi maana yake ni kwamba kila mwananchi jimboni kwake atakua ametengewa sawa ya Tsh 6287.43 kila mwaka na ndani ya kipindi chote mkopo ambayo ni miaka 10 basi kila mwananchi atakua ametengewa kiasi cha Tsh 628,743/- kujipatia maendeleo makubwa kama mtoa fedha wa Marekani alivyaahidiwa.

Hizo jitihada za Makamba kwa wananchi wa Bumbuli ni sawa na kusema kwamba watakua nahali njema zaidi kuliko sisi wengine kwa zaidi ya ailimia 10 % ambayo serikali yetu hutupangia kwa mwaka pale ambapo bajeti yetu inakua imegota kwenye trilioni 3 za ki-Tanzania kwa ajili ya wastani wa watu milioni 45 ambayo ni sawa na Tsh 66,667 kwa kila mtu.

Lakini pamoja na yote, hizi fedha ambazo zimelengwa kutumika kwa manufaa na kwa niaba ya CCM kujihakikishia ubunge mkononi mwake Januari Makamba na wala si Mzee Selukindo wala mgombea wa Chama chochote cha upinzani, John Tendwa au ofisi yake ilishirikishwa ukopaji wake, jinsi inavyotumika na makubaliano ya marejesho kati ya Makamba na mfadhili wa Wall Street Marekani.

Tunaomba jibu juu ya hili kabla CHADEMA hakijazushiwa ufadhili wa Ulaya. Jee, kwa fedha gani bungeni ambayo January Makamba anategemea kurejesha nayo hiyo bilioni 15 Marekani ndani ya kipindi cha miaka 10 na kitenesi cha juu kwa ajili ya huyo Mmarekani kiasi gani??

Je ni kweli kwamba huko kwenye soko la fedha la Afrika Mashariki kila kukicha ni faida tuu hakuna hasara?? Mhe Tendwa, tena kwa kinywa kipana sana mbele ya kioo cha TBC1 tunaomba ufafanuzi juu ya hili na collateral iliyowekwa kupata mkopo wenyewe kwa jina la wananchi wa Bumbuli.

Bado tunakuletea data za ufadhili wa CCM kutoka nje ya nchi huku ukiendelea kututolea ufafanuzi usioacha masuali zadi akilini mwetu.
 
afadhari mkuu umekuja mwenyewe kuongea!

Mi mpambe tu aisee. Mbunge mwenyewe wala sijui mitikasi yake. Ila namkubali JM as a steady, visionary politician ndio maana tunaweka his record straight humu ndani.
 
Mnamzungumzia Makamba waziri wa Nishati au Wa mipasho? Nasikia kati ya hao 2 mmoja ni mtunzi wa nyimbo katika kikundi cha nambari 1
 
Kumbe ndio maana anakazania dili la Dowans ili aje kulipa Madeni ya Wamarekani, Duuh Huyu mtoto ndio anataka kuingia kwenye Ufisadi kwa Speed ya bullet kuja kulipa Madeni. Mungu wetu tuepeushe na wanasiasa wachwara kama Huyu:focus:
 
Na ule mradi wake wa SMS bure kwa wananchi wa BUmbuli bado upo? Mkuu unahakika lakini maana Jamaa anawapenda watu wake kuanzisha hii huduma...! :msela:
 
...Siku njema huonekana Alfajiri.
Punguzeni matetezi. Tunataka juhudi za mbunge tuliyemchagua, awe January Makamba ama mwingine yoyote, kusaidia kutatua matatizo ya wapiga kura wake zianze from Day One! Kama miezi MINNE baadaye hakuna chochote tangible ambacho amefanya ni lazima wapiga kura waanze kuweka alama ya kuuliza kichwani.
Haya matetezi ya kudai "miezi minne bado ni mapema sana" ndio ujinga unaotufanya tubaki tulipo na ambao tutauhamishia kwenye "miaka mitano bado ni mapema sana, nipeni miaka mitano mingine nimalizie niliyoanza"! Poor We! Tuamke.

...Bado Nasimama Hapa!

Jamani hivi mnafahamu mnachoongea au mnalopoka au mmechoka kufikiri au nini? January alifanya mahojiano na The Economist soon aliposhinda. Na katika mahojiano alisema kwamba " atakopa million 15 USD". Hajakopa atakopa.... Na sisi wengine tukasema kwamba nani atamkopesha January kwa kigezo gani?

Nikahoji hapa ni kwakutumia ROI ya aina gani ambayo atashauri investor wampe pesa..... That was an argument ambayo mwishoni hakukopa hata sumni....

Please STOP UONGO JAMANI... PLZ
 
Ndugu, give him a brake! Mwenzetu ndo kwanza tu amechaguliwa - leo hii miezi minne tu. Na ana mipango mingi ya maendeleo na Mungu atampa uwezo wa kuitekeleza. Mimi nimepitia website yake na kusoma mambo mengi sana pale; kiukweli ana ndoto nyingi kwa Bumbuli na ndo kwanza ameanza kazi - tusubiri tuone utekelezaji wake. Sina shaka katika kipindi chake ataibana serikali ifanye mengi iliyoahidi kwa Bumbuli, na yeye atawezesha mengi kwa ushawishi wake. Tumpe nafasi afanye kazi.

Ubunge si kazi ya mchezo hata kidogo! Kuna mambo mengi, majukumu mengi, na kwa Mbunge serious kama January, kusinzia ukiwa unatoka jimboni si jambo la ajabu - unakuwa umechoka kweli. Kila nikiwa Jimboni nachelewa kulala na kuwahi kuamka kuliko kawaida!

Majungu na fitna za namna hii si nzuri. muacheni mtu afanye kazi, akishindwa mtaweka mgombea wakati ukifika, na hii ndo maana halisi ya demokrasia ya upinzani na ushindani! Siyo kumchafua mtu. Na ameanza vizuri kazi kama Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati Nyeti. Wana Bumbuli mnaosoma hii habari watulizeni wenzenu, waambieni wana kila sababu ya kujivunia Mbunge wao; ni kijana msomi, ana upeo mkubwa na zaidi ya yote anakubalika (ndiyo maana kachaguliwa kwenye kamati nyeti na muhimu kama hiyo katika kipindi tete kama hiki!)
We yanakuhusu mbunge wa Nzega? Ongelea ya jimbo lako!
 
Ushabiki ukizidi tunakuwa kama wehu. Najua hili ni jamvi la Chadema, but irrationality will not save us.

Umesema Bumbuli kuna shida ya maji na barabara mbovu, halafu u blame Mbunge Makamba (Who was just elected last year) and then you go and praise Mzee Shelukindo kuwa ni mpiganaji but he was mbunge for 15 years? How do u explain that kind of intellectual dishonesty?

Huku Tegeta kwetu kuna shida ya maji, as the matter of fact, tunanunua maji kila siku. But It would be stupid to blame that on Halima Mdee, she just started ubunge.

Maybe its not really worthy arguing with this kind of thinking/posting. The motive of mtoa mada ni kupaka matope.

Mtoa hoja anasema mbunge hana mikakati yoyote ya kuleta maendeleo, this is FALSE. Mtoa hoja kaamua kutudanganya, mipango ya kuleta maendeleo ipo hadi kwenye kitabu. Ukiamua kupiga fitina ungesema kwamba mipango ya kuleta maendeleo haitekelezeki, hapo labda tungekuelewa. Ndio maana nikasema hii post imekaa kimajungu.

Baba yako si ndio amekata maji kwa wananchi wengine na kujiunganishiaa.... alafu unatuambia mnashida, hacha hizo... wewe pale ULIINGIZWA tu, na ninamuona masha mwingine 2015 Bumbuli
 
Ni mapema mno jamani, miezi mitano!!

Watu wanafanya mabadiliko ya maisha yao kwa dakika 1, wewe unasema miezi mitano ni mapema??? umetumwa?? ilitosha kabisa kuonyesha dira kwa miezi hiyo mitano.

Ila kwa uzuri katuonyesha dira ya atakapoishia. Ila koma kabisa kusema miezi mitano ni michache/mapema maana hata miaka mitano atasema ni mapema/michahe.

Kiongozi wa kweli huanza kuwajibika dakika ya kwanza baada ya kuapishwa.
 
PHP:
KUFUATIA MAMBO HAYA YALIYOJITOKEZA, KUBWA LIKIWA LA KUHAMISHA OFISI,  KUWACHUNIA WANANCHI, NA KUTOKWENDA KUTOA SHUKRANI, LIMEIBUKA KUNDI KUBWA  LA VIJANA AMBAO WAPO KWENYE MCHAKATO WA KUMWANDIKIA BARUA MWENYEKITI WA  CHADEMA MH. MBOWE PAMOJA NA KATIBU MKUU DR. SLAA, ILI WAWAPE SUPPORT YA  KUFUNGUA TAWI LA CHADEMA BUMBULI, VIJANA WENGI WALISIKIKA WAKISEMA  "TATIZO SIO SHELUKINDO, TATIZO SIO JANUARI, TATIZO NI CCM"

tatizo siyo januari kweli????????????????????????????????????

hebu soma hii marejeo..............................

icon5.png
The Economist: Tanzania's election

Tanzania's election

Promises, promises

Tanzania is still a backwater compared with its Kenyan neighbour to the north

Oct 28th 2010 |
BUMBULI
20101030_map004.jpg
Makamba (right) networks on the mount
THE parliamentary campaign in Bumbuli, a constituency of 167,000 souls in the mountainous Lushoto district of Tanzania, is a mixture of ancient and modern. January Makamba, the candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), stands for the modernists. In designer shirt and shoes, he hikes half way up a mountain to a remote village to solicit votes. The villagers are demoralised, with no electricity or road and a poor crop. Down below, a volunteer updates Mr Makamba’s Facebook page on a wireless internet connection.
Within the CCM, Mr Makamba is in a minority. Educated in the United States, the son of a CCM power broker, he recently quit his job as a speechwriter for Tanzania’s president, Jakaya Kikwete, to run in Bumbuli. He wants Tanzania to enter the world market. He hobnobs with Western philanthropists. A copy of “The Rational Optimist”, a booster of global capitalism, lies on the back seat of his campaign truck.
But now he must prove himself on the ground. He showed his steel by ousting a long-serving CCM parliamentarian. It helps that he comes from the main town, Lushoto, and lived there as a boy. Up in the village he promises fertilisers, medicine, more teachers. Electricity? No, too costly.
Bumbuli is among Tanzania’s most densely populated constituencies. Most of its people farm tiny plots too small to be subdivided further. But Mr Makamba has a plan. He wants to borrow $10m from Wall Street philanthropists, to be repaid in ten years. The sum, he says, will be invested in east African treasury bonds and stocks, in the hope of dividends producing $700,000 a year to invest in Bumbuli.
20101030_mam920.gif

Some of the cash would help farmers package their fruits and vegetables. Mr Makamba dreams of refrigerated lorries owned by the community leaving daily at dawn for Dar es Salaam and Nairobi with “Fresh from Lushoto” produce. Another project aims to parcel a scenic bit of the constituency and sell it to a university to set up a campus for 5,000-odd students. Turkish investors, he claims, are interested.
It is early days, but a youthful tilt at the presidency in 2015 by Mr Makamba, or someone like-minded, is conceivable. If he took Tanzania’s helm, the country might sail ahead. As it is, its economy has been breezing along at 6% this year, faster than Kenya’s to the north, yet it still feels slothful by comparison. It has been sliding downwards in the rankings as a spot for investors. Corruption is rife. Crime is up. Dubious businessmen enjoy positions of influence in the ruling party.
Though he has failed to fulfil his early promise, President Kikwete will almost certainly get another five years in the job. Fond of technology and foreign travel, he is known among his ministers as “Mr Beep” for his habit of texting them to show he cares. But he has seemed wary of radical reform. He is sentimental about Tanzania’s socialist past. Most foreign aid-givers, on whom the country still depends for half its budget, are still prepared to give him the benefit of the doubt.
In his expected second term, Mr Kikwete is likely to promote gas exploration in the south, expand mining, and try, as ever, to improve services. “Despite a tripling in the education budget, large majorities of children remain illiterate and innumerate,” says Rakesh Rajani, a Tanzanian who has researched the performance of primary schools. The country still has far fewer skilled workers than neighbouring Kenya.
The opposition may do a bit better than before but is fragmented. Moreover, the army, which thinks it is must protect the ruling CCM, has tried to bully it—and independent journalists. Two opposition parties stand out. Chadema is strong among richer smallholders, most of whom belong to the Chagga people around Mount Kilimanjaro. The Civic United Front is backed by quite a few Muslims on the coast and in the autonomous island of Zanzibar.
But they are too weak to topple the all-powerful CCM. Mr Kikwete and Tanzania will gently potter along. If the likes of Mr Makamba managed to take over the CCM, things might pick up a lot faster. But not, it seems, just yet.

Tanzania's election: Promises, promises | The Economist

MY TAKE:
I will be happy if the Economist will be fair on facts when the Journal mention of corruption being rife he should be giving rankings between. Just that...

progress.gif

Reply Reply With Quote Thanks

Remove Your Thanks
The Following 2 Users Say Thank You to Geza Ulole For This Useful Post:

Mtazamaji (29th October 2010), Rutashubanyuma (Today)
 
Tanzania's election

Promises, promises
Tanzania is still a backwater compared with its Kenyan neighbour to the north

Oct 28th 2010 | BUMBULI | from the print edition

20101030_map004.jpg
Makamba (right) networks on the mount
THE parliamentary campaign in Bumbuli, a constituency of 167,000 souls in the mountainous Lushoto district of Tanzania, is a mixture of ancient and modern. January Makamba, the candidate of the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM), stands for the modernists. In designer shirt and shoes, he hikes half way up a mountain to a remote village to solicit votes. The villagers are demoralised, with no electricity or road and a poor crop. Down below, a volunteer updates Mr Makamba's Facebook page on a wireless internet connection.
Within the CCM, Mr Makamba is in a minority. Educated in the United States, the son of a CCM power broker, he recently quit his job as a speechwriter for Tanzania's president, Jakaya Kikwete, to run in Bumbuli. He wants Tanzania to enter the world market. He hobnobs with Western philanthropists. A copy of "The Rational Optimist", a booster of global capitalism, lies on the back seat of his campaign truck.
But now he must prove himself on the ground. He showed his steel by ousting a long-serving CCM parliamentarian. It helps that he comes from the main town, Lushoto, and lived there as a boy. Up in the village he promises fertilisers, medicine, more teachers. Electricity? No, too costly.
Related topics

Bumbuli is among Tanzania's most densely populated constituencies. Most of its people farm tiny plots too small to be subdivided further. But Mr Makamba has a plan. He wants to borrow $10m from Wall Street philanthropists, to be repaid in ten years. The sum, he says, will be invested in east African treasury bonds and stocks, in the hope of dividends producing $700,000 a year to invest in Bumbuli.
20101030_mam920.gif

Some of the cash would help farmers package their fruits and vegetables. Mr Makamba dreams of refrigerated lorries owned by the community leaving daily at dawn for Dar es Salaam and Nairobi with "Fresh from Lushoto" produce. Another project aims to parcel a scenic bit of the constituency and sell it to a university to set up a campus for 5,000-odd students. Turkish investors, he claims, are interested.
It is early days, but a youthful tilt at the presidency in 2015 by Mr Makamba, or someone like-minded, is conceivable. If he took Tanzania's helm, the country might sail ahead. As it is, its economy has been breezing along at 6% this year, faster than Kenya's to the north, yet it still feels slothful by comparison. It has been sliding downwards in the rankings as a spot for investors. Corruption is rife. Crime is up. Dubious businessmen enjoy positions of influence in the ruling party.
Though he has failed to fulfil his early promise, President Kikwete will almost certainly get another five years in the job. Fond of technology and foreign travel, he is known among his ministers as "Mr Beep" for his habit of texting them to show he cares. But he has seemed wary of radical reform. He is sentimental about Tanzania's socialist past. Most foreign aid-givers, on whom the country still depends for half its budget, are still prepared to give him the benefit of the doubt.
In his expected second term, Mr Kikwete is likely to promote gas exploration in the south, expand mining, and try, as ever, to improve services. "Despite a tripling in the education budget, large majorities of children remain illiterate and innumerate," says Rakesh Rajani, a Tanzanian who has researched the performance of primary schools. The country still has far fewer skilled workers than neighbouring Kenya.
The opposition may do a bit better than before but is fragmented. Moreover, the army, which thinks it is must protect the ruling CCM, has tried to bully it-and independent journalists. Two opposition parties stand out. Chadema is strong among richer smallholders, most of whom belong to the Chagga people around Mount Kilimanjaro. The Civic United Front is backed by quite a few Muslims on the coast and in the autonomous island of Zanzibar.
But they are too weak to topple the all-powerful CCM. Mr Kikwete and Tanzania will gently potter along. If the likes of Mr Makamba managed to take over the CCM, things might pick up a lot faster. But not, it seems, just yet.

from the print edition | Middle East & Africa

Related items

TOPIC: Jakaya Kikwete »

TOPIC: Kenya »

TOPIC: Tanzania »

Readers' comments

Readers have commented on this article (the window for new comments is now closed).
View all comments (15)

Want more? Subscribe to The Economist and get the week's most relevant news and analysis.

Most commented
Most recommended

Most commented

Over the past five days
Most recommended

Over the past seven days

Latest blog posts - All times are GMT

Fuelling anger From Banyan - 33 mins ago
The limits of limited war From Lexington's notebook - March 22nd, 22:18
Link exchange From Free exchange - March 22nd, 20:32
An essential museum you've never heard of From Prospero - March 22nd, 20:24
Not an easy call From Free exchange - March 22nd, 20:13
Good enough for government work From Americas view - March 22nd, 19:09
Fixing the secrecy system From Democracy in America - March 22nd, 19:07
More from our blogs »

Products & events
Stay informed today and every day
Subscribe to The Economist's free e-mail newsletters and alerts.
Get e-mail newsletters
Subscribe to The Economist's latest article postings on Twitter
Follow The Economist on Twitter
See a selection of The Economist's articles, events, topical videos and debates on Facebook.
Follow The Economist on Facebook
 
Back
Top Bottom