Chloe O'brian
Member
- Dec 22, 2010
- 41
- 10
Ushabiki ukizidi tunakuwa kama wehu. Najua hili ni jamvi la Chadema, but irrationality will not save us.
Umesema Bumbuli kuna shida ya maji na barabara mbovu, halafu u blame Mbunge Makamba (Who was just elected last year) and then you go and praise Mzee Shelukindo kuwa ni mpiganaji but he was mbunge for 15 years? How do u explain that kind of intellectual dishonesty?
Huku Tegeta kwetu kuna shida ya maji, as the matter of fact, tunanunua maji kila siku. But It would be stupid to blame that on Halima Mdee, she just started ubunge.
Maybe its not really worthy arguing with this kind of thinking/posting. The motive of mtoa mada ni kupaka matope.
Mtoa hoja anasema mbunge hana mikakati yoyote ya kuleta maendeleo, this is FALSE. Mtoa hoja kaamua kutudanganya, mipango ya kuleta maendeleo ipo hadi kwenye kitabu. Ukiamua kupiga fitina ungesema kwamba mipango ya kuleta maendeleo haitekelezeki, hapo labda tungekuelewa. Ndio maana nikasema hii post imekaa kimajungu.
MIKAKATI = MBINU ZA UTEKELEZAJI WA MIPANGO
MTOA MADA YUPO SAHIHI, HUENDA MIPANGO IPO LAKINI HAKUNA MIKAKATI
Vipi kuhusu kuhamisha ofisi na kuwasiliana na wananchi kwa simu na internet?