Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.