Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,043
- 759
Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara ya wadudu aina ya senene.
Wakizungumza katika mahojiano maalum na Kcr fm wakazi hao akiwemo Mektrida Leonard wamesema katika msimu wa senene wamekua wakipata kipato kinachowawezesha kujikimu na kupata mahitaji yao pamoja na kulipa ada za watoto shuleni.
…..sauti za wakazi wa kagera….
chanzo:
radiotadio.co.tz

Wakazi Kagera wanavyoneemeka kupitia senene
Wakazi mkoani Kagera wamesema wamekua wakiingiza kipato kinachowawezesha kujikimu kwa biashara ya wadudu aina ya senene Na. Elisa Kapaya Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa…
radiotadio.co.tz