Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Anakwambia mwenye kondoo moja atapata mbili. Mwenye boda boda atapata bajaji mwenye teksi atapata dala dala nakadhalika nakadhalika nakadhalika.

Teh teh teh basi hapo kesha maliza hotuba
 
Viva have weight lowa.



swissme

ni heavy weight wewe nyu.mbu wa ukawa wala si have weight.

halafu hao wamepewa buku mbili mbili tu na viroba wanaona kama wanadeki vile mageto yao.
 
haya hii kali kuliko zote wale jamaa wa lumumba roho zinawauma hatari.
 
ni heavy weight wewe nyu.mbu wa ukawa wala si have weight.

halafu hao wamepewa buku mbili mbili tu na viroba wanaona kama wanadeki vile mageto yao.

Unataka wapewe mil50 kama aunt ray na aunt ezekiah?
 
Magufuli kupiga Push up kaonekana hana akili,lakini leo watu wanapiga deki kwenye barabara wanaonekana wamefanya kitu cha maana kabisa.

Yani tusio na huu ushabiki tunajione vituko vingi mwaka huu.

Serikali yako ilipodeki barabara za Jiji la Dar kipindi cha ziara ya Obama uliichukuliaje swala lile?
 

Serikali ya Tanzania ni ya kitumwa au sio? Rejea ziara ya Obama, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Meya wa Jiji ndio waliosimamia zoezi la kudeki barabara za Jiji hilo tena kwa gharama kubwa tu! Yale maji waliyotumia si wangewapelekea wananchi wenye shida ya maji.
 
Gesi ni ya nani?nani anaichimba?nani anaisafirisha?nani ana miliki mtambo wa kufua umeme pale kinyerez?umeme ni wa nani?nani ana nunua umeme?nani anafaidika?tunataka mabadilikooooo

NB:Ccm sio malofa,wana akili timamu ya kutafakari na kuchanganua sera!

Mtaalamu wa kutafakari Sera, hebu tafakari basi na hapo kwa kumjibu Mkuu hapo juu.

CHAGUA LOWASSA CHAGUA UKAWA.
 
Kuchanganua Sera za kupiga push up, kuruka kichura na kurukaruka jukwaani? Umechemka ndugu ndani ya CCM hakuna mwenye akili kwa sasa

wako busy na pushup kule mitambo ya umeme inazimwa! Ccm ni janga la taifa
 
Kwa hakika Watanzania wanampenda Lowassa na watamchagua kwa kishindo siku ya oktoba 25.

Viva Lowassa.....

Viva mabadiliko.....
 
Hivi wanaamin push up itawapeleka ikulu hebu jiandaeni kisaikolojia maana sikio la kufa halisikii dawa
 
Mwita Maranya wape watu wote shikamoo zangu.
Shikamoo watu wa nara wote.
Shikamoo watu wa nara wote.
shikamoo watu wa nara wote.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…