adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
ChaiNimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"
hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja kututishia hadi usingizini! Hawa jamaa ni freemason, ngoja nichukue kipande cha mkaa niweke chini ya mto.