Wanamtandao pia wanatumia nguvu za giza

Wanamtandao pia wanatumia nguvu za giza

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"

hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja kututishia hadi usingizini! Hawa jamaa ni freemason, ngoja nichukue kipande cha mkaa niweke chini ya mto.
 
Unaweza kuta mwana katekwa kweli halafu Mafwele kachukua simu yake ndio akaandika huu uzi 🥹
 
Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"

hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja kututishia hadi usingizini! Hawa jamaa ni freemason, ngoja nichukue kipande cha mkaa niweke chini ya mto.
Mkuu unazingua, unataka tucheke msibani
 
Ikitokea tena unaliita tuu, lile jina liliko kuu kupita yote. Jina la Bwana yetu, Yesu Kristo, basi biashara inaishia hapo.
 
Ni kweli kabisa mkuu tangu nianze kuandika Oktoba 29 Tunatoka ndoto za hovyo hazikauki, sasa umenishituA nimeelewa ni nini tatizo, kesho nafata dhana zangu bushi kitaumana jino kwa jino alaa!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom