Wanamshangilia lakini wana mashaka!

Yaani usiku na mchana mnavyomsema mh raisi vibaya utadhani huyo wa kwenu ni mkamilifu. Sio fair. Semeni pia kazi nzuri anazofanya.
he!!! tusaidie na wewe kuzisema nzuri inawezekana watu hawajui mwenzetu wa kuleeeeeeeeeeee!
 
Ndio atakapo shangaa! Wake kwa waume, maskino na matajiri, wazee na vija

Ushauri wangu Ni kuwa, kwakuwa tumeshakosea hatuna namna, lakini tusifanye kosa jingine 2020, Tuunganishe nguvu ili Magufuli 2020 ashindwe kabisa.

Unadhani ni nani anafaa kuwa Rais na kutuvusha???
 
Sukar na mahitaj kupanda haimuhusu mnyonge?
Mnyonge na sukari! mnyonge sukari kwake imekuwa anasa toka enzi za mwalimu, akila muhogo sukari anapata, hiyo ya nyongeza lalamika wewe.
 
Kuna zaidi ya kusomesha. Ana uhakika ataendelea kutawala milele wakati si tuna mpango wa kumpiga chini 2020
Mbona hilo la kupigwa chini 2020 analijua! Ndio maana haachi kuhesabu kila siku, utasikia nimebakiza miaka minee na miezi 8 mara minne na miezi 6 and still counting
 
alipotaja jengo la vijana ccm lumumba ITV camera zao zikamwonyesha sendeka na kinana wamepigwa butwaa kweli wanashangilia bila furaha
 
Kuna wakati inabidi usifie jambo ili yako yaende..nkinukuu nyimbo ya kumsifu Makonda kutoka Mkubwa na wanae"Tumempata kijana mwenzetu mwenyenizamu" nkajiuliza hivi kumchapa Mzee mwenye umri wa baba bado tukuite unanidhamu..kwa hiyo hata wanaomshangilia magufuli wanataka yao yaende tu.
 
aliyekuwa akitangaza matokeo kwa kadiri alivyo kuwa akiyapokea kutoka vituo naona aliwaumiza wengi duh.jina la bwana libarikiwe
 
Mkuu siamini kama wewe unaweza kuandika ktk hali ya kudharau watanzania wote kama ulivyo fanya! Hivi mkuu niambie aliyetumbuliwa kwa kuonewa ni nani? Mimi kuna mambo yanafanyika siriziki nayo ila yapo mengi sana JPM anafanya sawa! Mfano zoezi la uhakiki wafanyakazi, kupunguza mishahara ili kufidia wa kima cha chini. Ni kweli mmoja kwa mwezi alipwe 40milion na mmoja alipwe laki mbili? Lakini pia wezi wanabanwa ili tufaidi keki ya taifa kwa usawa. Kama wewe au rafikizo mmebanwa pole ila usipotoshe nia njema ya Rais
 
MaCCM ni majitu ya ajabu sana..
..yanashangilia tu kama ng'ombe wasokuwa na mikia.
 
Hahaha! Eti KUFIDIA WA KIMA CHA CHINI....ni mtu gani wa kima cha chini aliyeongozwa mshahara? Du, unàwaza mbali sana mkuu.
 
Hahaha! Eti KUFIDIA WA KIMA CHA CHINI....ni mtu gani wa kima cha chini aliyeongozwa mshahara? Du, unàwaza mbali sana mkuu.
Nawe unapaswa kuwaza kwa kujiongeza kima cha chini sio lazima walipwe cash hata madawa hospitalini, madawati, na huduma zigine za kijamii vikiongezwa ni fidia. Kunawatu walizoea kusomesha watoto wao kwa kutunyonya wanyonge sasa wabadilike. Wote ni watz utabaka wa nini? JPM piga kazi, mabadiliko siku zote yanachangamoto
 
Una ubongo wa udongo
Mtoa uzi ameelezea mtazamo wake na mchango wako unathibitisha tu kuwa wewe ndo una udongo ubongoni. Hata hivyo hakuna mwenye akili timamu atakayekulaumu kwa sababu tatizo linajulikana.
 
Mtoa uzi ameelezea mtazamo wake na mchango wako unathibitisha tu kuwa wewe ndo una udongo ubongoni. Hata hivyo hakuna mwenye akili timamu atakayekulaumu kwa sababu tatizo linajulikana.
Nawe una ubongo wa udongo hatuwashangai kwa kuwa ndio unawawakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…