commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Boko haram wamevamia mji mdogo wa maiduguri na kuuwa watu wapatao arobaini,nchini nigeria.Ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko CAR?Si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya Mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.Vipi hapa kwetu Tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!Je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?Mwenyezi Mungu apishe mbali.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Boko haram ni kundi la kigaidi linaloendesha mauaji ya raia wasio na hatia ili kuishinikiza serikali ya nigeria kuendesha nchi kwa sharia za kiislam.