uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
Inakuwaje majeshi ya Ufaransa na yale ya nchi za Kiafrika yakiwa na silaha za kisasa yanashindwa kuwadhibiti wanamgambo wa mitaani ambao "hawajapata mafunzo yoyote" wala "hawajajiorganise"?Amnesty International wametangaza kua mauaji yanayofanywa na Wakristu kuwaua kinyama kwa kukatakata vipande vipande Waislam huko C.A.R(Jamhuri ya Afrika ya Kati) ni mauaji ya kimbari (ethnic cleancing) lengo la wanamgambo hawa wa Kikristu ni kusafisha kabisa kizazi cha Waislam katika C.A.R-Jamhuri ya Afrika ya Kati.Waislam ni asilimia 15.
Inashangaza kwamba hata viongozi wa Kikristu ktk C.A.R-Jamhuri ya Afrika ya Kati hawahubiri tena kuhusu upendo amani na mshikamano bali ni kisasi kisasi kisasi.Nina hakika lau wangewahubiria kua wasamehe kama Yesu(amani iwe juu yake) alivyowausia mauaji ya kuogofya yanayoendelea kila siku tena kwa kushuhudiwa na wanaoitwa "walinda amani" yangepungua kama si kuisha kabisa.Mwenyezi Mungu Apishie mbali tusifike huko.
wakristo wamechokozwa tena kwa makusudi. uvumilivu umewashinda n'a waondoke Hao wafia Dini wakapeleke chokochoko saudia. na iwe fundisho kwa wafia Dini wa hapa tz