Wanamgambo wa kikristu wauaji

Wanamgambo wa kikristu wauaji

Status
Not open for further replies.

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko CAR?Si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya Mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.Vipi hapa kwetu Tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!Je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?Mwenyezi Mungu apishe mbali.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wanamgambo wa kisslamu wa Seleka ndio walianza kuuwa wakristo sasa kimewageukia wao.
 
Halafu wale sio wanamgambo, ni raia tu wa kawaida wenye hasira kutokana na uchungu wa kuuwawa kwa ndugu zao na Seleka (wanamgambo wa kiisilamu) kipindi walipokuwa wanaitawala nchi hiyo. Seleka waliua wakristu bila sababu za msingi, sasa Seleka walipoondolewa madarakani wahanga wa utawala huo wakapata nafasi ya kuondoa hasira zao kwa kuwatimua waisilamu kwani wamegundua kuwa hawa jamaa hawatabiriki, wakipata chance wanaua watu. Kwa ufupi wakristu waliopoteza ndugu zao ndio wanaowatimua waisilamu, na wala hawajajiorganize na hawajapata mafunzo yoyote hadi wafikie kuitwa wanamgambo
 
ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko car?si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.vipi hapa kwetu tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?mwenyezi mungu apishe mbali.

Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums

sereka ni waislamu na ndiyo waliompindua rais wakachukua nchi.
 
Latest from Central African Republic, (CAR).
#Muzzrats attacking Christians
Qu'ran 2:191 killed them wherever you find them!!

1660976_510369605749267_1520618231_n.jpg
 
Nini chanzo cha kuuwana tukisha juwa tutalaumu
 
Hakuna cha uKristo wala uIslamu...watu wanauana tuu wanasingizia dini. Hata wasingekuwa na dini wangeuana tu kwa ukabila, na wasingekuwa na makabila wangeuana tu sababu nyingine tofauti! Binadamu hakosi sababu ya kumfanyia mwenzie ubaya..
 
Waisilamu watafute sayari nyingine wakaishi huko, hapa duniani wanaleta vurugu tu
 
Halafu wale sio wanamgambo, ni raia tu wa kawaida wenye hasira kutokana na uchungu wa kuuwawa kwa ndugu zao na Seleka (wanamgambo wa kiisilamu) kipindi walipokuwa wanaitawala nchi hiyo. Seleka waliua wakristu bila sababu za msingi, sasa Seleka walipoondolewa madarakani wahanga wa utawala huo wakapata nafasi ya kuondoa hasira zao kwa kuwatimua waisilamu kwani wamegundua kuwa hawa jamaa hawatabiriki, wakipata chance wanaua watu. Kwa ufupi wakristu waliopoteza ndugu zao ndio wanaowatimua waisilamu, na wala hawajajiorganize na hawajapata mafunzo yoyote hadi wafikie kuitwa wanamgambo

Inakuwaje majeshi ya Ufaransa na yale ya nchi za Kiafrika yakiwa na silaha za kisasa yanashindwa kuwadhibiti wanamgambo wa mitaani ambao "hawajapata mafunzo yoyote" wala "hawajajiorganise"?Amnesty International wametangaza kua mauaji yanayofanywa na Wakristu kuwaua kinyama kwa kukatakata vipande vipande Waislam huko C.A.R(Jamhuri ya Afrika ya Kati) ni mauaji ya kimbari (ethnic cleancing) lengo la wanamgambo hawa wa Kikristu ni kusafisha kabisa kizazi cha Waislam katika C.A.R-Jamhuri ya Afrika ya Kati.Waislam ni asilimia 15.
Inashangaza kwamba hata viongozi wa Kikristu ktk C.A.R-Jamhuri ya Afrika ya Kati hawahubiri tena kuhusu upendo amani na mshikamano bali ni kisasi kisasi kisasi.Nina hakika lau wangewahubiria kua wasamehe kama Yesu(amani iwe juu yake) alivyowausia mauaji ya kuogofya yanayoendelea kila siku tena kwa kushuhudiwa na wanaoitwa "walinda amani" yangepungua kama si kuisha kabisa.Mwenyezi Mungu Apishie mbali tusifike huko.
 
sifurahii mauaji....lakini angalau nimesikia kuwa waislamu nao wanawakimbia wakristo...na wakristo kumbe wanaweza......upole siku zote umetafsiriwa kama ujinga...kumbe inawezekana kukinukisha ' kuchokozwa' kukizidi.... EEEH MUNGU TUEPUSHE NA BALAA HILI TANGANYIKA

mix with yours
 
Ni nini kiini cha mgogoro uliosababisha mauaji yanayofanywa kuua waislam huko CAR?Si kawaida wakristu kuua kwani hawajaahidiwa tuzo na biblia zaidi ya hukumu kwa kuvunja amri ya Mungu!sijui ni kitu gani kimesababisha haya kutokea.Vipi hapa kwetu Tanzania ambapo naona kuna tabia ilianza kujitokeza serikali ikiwaudhi watu wa dini fulani,wanakwenda kuchoma nyumba za ibada za watu wanaowadhani ni adui zao!Je viongozi wanaofumbia macho matukio kama haya hapa kwetu,iwapo yakiendelea,hayatatupeleka huko?Mwenyezi Mungu apishe mbali.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hao waislamu kabla ya kuanza kupigwa na wapigwe tu, wao ndio walianza kuwapiga wakristo. Sasa inaonyesha kuwa wakristo wa nchi hiyo hawataki uonevu na wameamua kuwateketeza wafia dini. Na hili linaweza kuwafungua macho wakristo wengi ambao wamekuwa wakinyanyaswa bila majibu kwenye nchi zingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom