Wanamazingaombwe kina Profesa Singira, Muhindi Mchafu etc

Mwingine alikuwa akiitwa kababayeee,, alikuwa akisema,”” kababaa yeee,, tunasema yeee,, au anaimba,,” kababaa nisogee sogee,,tunajibu “” Songea “”” hahahah ilikuwa raha sana,,, na masiya moteee semaaaaaa,,,tunaitikia “”” masiya moteeeee ‘’ day!! Natamani kurudia yale maisha,, hela ilikuwa na thamani maana kiingilio ilikuwa sh 20,, sisi arusha kulikuwa na sukari guru na kitu ingine inaitwa ngubiti,inatengenezwa na sukari guru,,dah long aisee

Kababa nikalie kaliii......... Kaliaaa !!!!!!!!

siku moja alikalia misumari ikazama.

 
Back
Top Bottom