Wanamazingaombwe kina Profesa Singira, Muhindi Mchafu etc

Unataka wafuguliwe kesi ya kuhujumu uchumi...

Cc: mahondaw
Money laundering hah haaaa.... Magufuli hawaachi, yaani yeye anaondoa hela kwenye mzunguko halafu mwana mazingaombwe anazitengeneza, huyu ni wa kumfunga, analeta inflation
 
Wale WANA MAZINGAOMBWE waliokua wanageuza MAKARATASI kuwa HELA tukiwa PRIMARY SCHOOL wapo Wapi? Huu ndio Muda Sahihi sasa mimi nina RIM PAPER Kama 3 hivi Hazina Matumizi.
Hahahahahaaa. Profesa Eyeso je? Alikuwa anavaa mavazi kama joker wa kwenye karata. Ee bwana, wakitokea kuzipokea rims zako uniite nikuhesabie mpunga wako. #Jus'PraiseMe anatuua live!
 
Hawa jamaa ndio walioeneza story za kwamba Zeruzeru hawafi
Nkumbuka kuna mmoja alikujaga akawa anasema kama mnabisha hawafi tumwoneshe Kaburi alilozikwa Zeruzeru, baada nilikuja kugundua kumbe kulikuwa na ushirikina wa kutumia viungo na mifupa ya Albino kwenye shughuli zao.
Hizi stori zinasambaa tz nzima.
 
Money laundering hah haaaa.... Magufuli hawaachi, yaani yeye anaondoa hela kwenye mzunguko halafu mwana mazingaombwe anazitengeneza, huyu ni wa kumfunga, analeta inflation

Mazingaombwe ambayo hayatakuja kutokea tena ni yale yaliyofanyika kwenye account ya Escrow pale StanBic...

Viroba vya pesa vinapitishwa bila kuonekana, kugundulika wala kushtukiwa...

Cc: mahondaw
 
Mwingine alikuwa akiitwa kababayeee,, alikuwa akisema,”” kababaa yeee,, tunasema yeee,, au anaimba,,” kababaa nisogee sogee,,tunajibu “” Songea “”” hahahah ilikuwa raha sana,,, na masiya moteee semaaaaaa,,,tunaitikia “”” masiya moteeeee ‘’ day!! Natamani kurudia yale maisha,, hela ilikuwa na thamani maana kiingilio ilikuwa sh 20,, sisi arusha kulikuwa na sukari guru na kitu ingine inaitwa ngubiti,inatengenezwa na sukari guru,,dah long aisee
 
Bavon was the great! Alituonesha mkono wa Zeru zeru!

Mtu anatembea na panga kichwani na booonge la joka! Nani aingie kwenye vitisho hivyo?
 
Mwingine alikuwa akiitwa kababayeee,, alikuwa akisema,”” kababaa yeee,, tunasema yeee,, au anaimba,,” kababaa nisogee sogee,,tunajibu “” Songea “”” hahahah ilikuwa raha sana,,, na masiya moteee semaaaaaa,,,tunaitikia “”” masiya moteeeee ‘’ day!! Natamani kurudia yale maisha,, hela ilikuwa na thamani maana kiingilio ilikuwa sh 20,, sisi arusha kulikuwa na sukari guru na kitu ingine inaitwa ngubiti,inatengenezwa na sukari guru,,dah long aisee
Duh!! umenikumbusha GUBITI pipi (Lolipop) za kienyeji.
 
Back
Top Bottom