Hiyo itakuwa siku ya mwisho kutoka ikuluObamaaa ... ! Speak .... ! Taratibu wataelewa, acha dawa iwaingie
Hivi siku JK hapa akishangiliwa hivi mkulu atajisikiaje sijui
Hukumbuki kauli ya nusu wangeenda wote???Subiri JK akatishe Kariakoo
Ataagizwa IGP arushe mabomu ya machozi kuwatawanya woteHivi siku JK hapa akishangiliwa hivi mkulu atajisikiaje sijui
Hahaaaa na anaweza kweliAtaagizwa IGP arushe mabomu ya machozi kuwatawanya wote
Usishangae akaanza kumtupia majungu ya hapa na paleHivi siku JK hapa akishangiliwa hivi mkulu atajisikiaje sijui
Hivi siku JK hapa akishangiliwa hivi mkulu atajisikiaje sijui
Hahaaaaaa hilo hata sio shida kwakeUsishangae akaanza kumtupia majungu ya hapa na pale
Yatawakuta Kama yaliyomkuta Nikki Mbishi kwny Wimbo wake 'I'm sorry Jk'
Sisi tulibaniwa ajira na Magu tunammiss kweli bora arudi yeye ikuluSpeak for yourself, sio kila mtu anammiss Mkwere. We vipi?
Sisi tulibaniwa ajira na Magu tunammiss kweli bora arudi yeye ikulu
Sio kwa hali hii. Labda kama unafanya kazi ikulu.Speak for yourself, sio kila mtu anammiss Mkwere. We vipi?
Ukilimlinganisha na magu...ni bora jk angeendelea kuwa rais!! Nna mmiss jk!!Ndio maana nikasema sio wote tunaommiss Mkwere