mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Sawa mzee
Mwanamke una matusi sana wewe,kwanini huna adabu na watu wanokufanya ulie kama mtoto kunako 6*6Na wewe unaonekana kuna fyuz imechomoka au waya umelegea kwenye makalio.
Unamchukia mkwere kwa matumizi mabaya ya kodi za wananchi. Na huyu unampenda kwa matumizi mazuri ya kodi za wananchi? Fedha za rambi2, mabavu na matamko, au kwa lipi, be specific pls. Maana kwa mkwere umelitaja hilo moja. Sasa na huku je?Naona unapanick, inaelekea unaisoma namba kisawasawa. FYI uchumi wangu hautegemei Kikwete au Magufuli, I live above average comfortably. Ninachomchukia yule lofa Mkwere ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, refer to wafanyakazi hewa.
Timefika wakati hapa hakuna anayefanya for the country we all know. But at least wakati unafanya yako usiwazuie wenzio kufanya yao. And ifbu ask me, J.K knew that. Hence the love that he receives. Huyu wako anawashika watu mikono while yeye anafanya yake, sasa huu ndio ULOFA. Unajifanya mpagan wakati mungu wako tunamjua...I didn't go to school but at least I can think and speak my mind than you, fool. Kipenzi cha watu my foot, Mkwere lofa tu kama wewe. What he did for this country it'll take some years to cover the gape. That guy is corrupt and he spent millions of taxi money to please his friend and their families. Because you are blind, you can't see the truth Mr. Educated
Obama baada ya kuonekana ktk jiji la New York baada ya Urais.
Barack Obama Gets A Huge Welcome In New York City!:
Timefika wakati hapa hakuna anayefanya for the country we all know. But at least wakati unafanya yako usiwazuie wenzio kufanya yao. And ifbu ask me, J.K knew that. Hence the love that he receives. Huyu wako anawashika watu mikono while yeye anafanya yake, sasa huu ndio ULOFA. Unajifanya mpagan wakati mungu wako tunamjua...
Umepanick mkuu. Sikulishi maneno refer to your comment i quoted...Wangu ni yupi? Mbona unanilisha maneno? Halafu mbona unaniatack personally kama unanijua, au Mkwere babaako?
utakuwa shemeji tu weweWapenda shortcut ndio wanammis Mkwere maana kuna watu walikuwa wanakaa nyumbani tu bila kufanyakazi lakini wanapokea mshahara kila mwezi. JK alikuwa rais wa shamba la bibi. Watu wanalipa kodi ye kazi yake kutumia tu na washkaji zake.
Umepanick mkuu. Sikulishi maneno refer to your comment i quoted...
If mkwere is corrupt, who's not corrupt?Kupanick maana yake nini? Umesema huyu wangu blah blah blah! Ndio maana nikasema unalisha maneno. Anyway, hayo maneno mengine yote hatasaidii kitu. Mkwere ni corrupt leader kama unammiss yule lofa basi hauko serious.
May be Daudi BashiteIf mkwere is corrupt, who's not corrupt?