Wanam miss kama tunavyommiss Kikwete.

Koomerniner!! Sio kwa hali hii. Labda kama unafanya kazi ikulu.

Ukilimlinganisha na magu...ni bora jk angeendelea kuwa rais!! Nna mmiss jk!!

Wapenda shortcut ndio wanammis Mkwere maana kuna watu walikuwa wanakaa nyumbani tu bila kufanyakazi lakini wanapokea mshahara kila mwezi. JK alikuwa rais wa shamba la bibi. Watu wanalipa kodi ye kazi yake kutumia tu na washkaji zake.
 
Hayo ni mawazo yako mkuu!! Baki na uaminicho!! Kwangu jk atabaki kuwa kiongozi bora kuliko magu!!
 
Halafu mtu kama wewe ni maskini wa akili na uchumi mnajulikana

Naona unapanick, inaelekea unaisoma namba kisawasawa. FYI uchumi wangu hautegemei Kikwete au Magufuli, I live above average comfortably. Ninachomchukia yule lofa Mkwere ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, refer to wafanyakazi hewa.
 
mmmm MKWERE lofa? KUBWA ZIMA OVYOOOOOOOOO
 
Naona unapanick, inaelekea unaisoma namba kisawasawa. FYI uchumi wangu hautegemei Kikwete au Magufuli, I live above average comfortably. Ninachomchukia yule lofa Mkwere ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, refer to wafanyakazi hewa.
Huna lolote zaidi ya roho mbaya... Watu wenye uchumi mzuri hawajisifii... Wala hawana akili kama zako
 
Kwa hao wa Wamarekani naweza kuwaelewa ila wabongo ni viumbe wanafiki sana!! Walimtukana Jakaya wa watu na kumuita kila aina ya majina ya dhihaka na kumuelezea kama Rais dhaifu sana na wengine walisema bora aondoke haraka na hawatamkumbuka! Wakaenda mbali na kusema anachekacheka kwenye masuala ya msingi! Na ndio maana pale lumumba siku ile baada ya JPM kuwa Rais, alitamka yafuatayo, mlisema mimi mpole basi nimewaletea mkali! Sasa leo wale wale waliomtusi na kumdhika, utasikia eti tumekumiss kweli Jakaya!!!
 
Naona unapanick, inaelekea unaisoma namba kisawasawa. FYI uchumi wangu hautegemei Kikwete au Magufuli, I live above average comfortably. Ninachomchukia yule lofa Mkwere ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, refer to wafanyakazi hewa.
Kuna mfanyakaz hewa yoyote kashtakiwa? ?mtaje hata mmoja
 
Naona unapanick, inaelekea unaisoma namba kisawasawa. FYI uchumi wangu hautegemei Kikwete au Magufuli, I live above average comfortably. Ninachomchukia yule lofa Mkwere ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, refer to wafanyakazi hewa.
Wafanya kazi hewa kwani hakuna wajirii mbona issue ya wafanya kazi hewa IPO wazi sana .
 
Sasa mnalazimisha tummiss? Ndio maana nimesema kila mtu ajisemee mwenyewe. Kuna watu wengi kama mimi tunakushukuru yule lofa kaenda zake.
Kama JK ni lofa Sijui wewe utakuwa nani.... Maana Hakuna msamiati sahihi wa kukuita.... Tukikuita punguani pia tutakuwa tumekusifu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom