Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 237
mkuu mimi nitoke zanzibar nije kahama kuona mgao? weka picha tuone jinsi ibada zilivyo fanyika bila vyombo vya mziki.
Kwakweli tangu siku baraza jipya la mawaziri linatangazwa, wanakahama walianza kuonja joto ya jiwe. Umeme toka siku hiyo ulikatika mchana wote hapa kahama na kurudishwa jioni. Siku iliyofuata umeme ulikuwepo siku nzima lakini leo jumapili umeme umekatika tangu alfajiri hali ambayo imesababisha adhana kutosikiwa na waislam wakati wa swala zao, makanisani ibada zimefanyika bila ya vyombo vya muziki hali kadhalika wale waliofika kahama, huu ni mji wa viwanda vingi hivyo uzalishaji haupo kwa leo.
Hapa inaonesha kuwa kuachia ngazi kwa Ngeleja kahama imeanza kuona umuhimu wake, maana kipindi yupo umeme uliachwa kukatwakatwa kama ilivyo sasa. SOURCE: njoo mwenyewe ujionee.
aisee!
kwa hiyo kumbe ni kweli ngeleja alikuwa aki-abuse office kwa kujipendelea yeye na ndugu zake wa kahama?
aisee!
kwa hiyo kumbe ni kweli ngeleja alikuwa aki-abuse office kwa kujipendelea yeye na ndugu zake wa kahama?
SOURCE: njoo mwenyewe ujionee.
Kwakweli tangu siku baraza jipya la mawaziri linatangazwa, wanakahama walianza kuonja joto ya jiwe. Umeme toka siku hiyo ulikatika mchana wote hapa kahama na kurudishwa jioni. Siku iliyofuata umeme ulikuwepo siku nzima lakini leo jumapili umeme umekatika tangu alfajiri hali ambayo imesababisha adhana kutosikiwa na waislam wakati wa swala zao, makanisani ibada zimefanyika bila ya vyombo vya muziki hali kadhalika wale waliofika kahama, huu ni mji wa viwanda vingi hivyo uzalishaji haupo kwa leo. Hapa inaonesha kuwa kuachia ngazi kwa Ngeleja kahama imeanza kuona umuhimu wake, maana kipindi yupo umeme uliachwa kukatwakatwa kama ilivyo sasa. SOURCE: njoo mwenyewe ujionee.
Hayo ni moja ya sababu za kumwagwa, hatutaki viongozi wanaopendelea kwao na kusahau maslahi ya wote.
Kwakweli tangu siku baraza jipya la mawaziri linatangazwa, wanakahama walianza kuonja joto ya jiwe. Umeme toka siku hiyo ulikatika mchana wote hapa kahama na kurudishwa jioni. Siku iliyofuata umeme ulikuwepo siku nzima lakini leo jumapili umeme umekatika tangu alfajiri hali ambayo imesababisha adhana kutosikiwa na waislam wakati wa swala zao, makanisani ibada zimefanyika bila ya vyombo vya muziki hali kadhalika wale waliofika kahama, huu ni mji wa viwanda vingi hivyo uzalishaji haupo kwa leo.
Hapa inaonesha kuwa kuachia ngazi kwa Ngeleja kahama imeanza kuona umuhimu wake, maana kipindi yupo umeme uliachwa kukatwakatwa kama ilivyo sasa.
SOURCE: njoo mwenyewe ujionee.
napita
hivi ndugu yangu thread hii uliifikiria kabla ya kuipost?
Kuna viwanda gani Kahama? Kibarabara chenyewe cha rami kiko kimoja na ni cha futi nne zinabanana gari, malori, pikipiki, baiskeli, power tiller, mikokoteni ya kukokotwa na wanyama, ng'ombe, punda, yaani ni balaaa. Kwa kweli watu wa Kahama jaribuni kutafuta wataalam wa mipango miji kabla hamjaachiwa mashimo na watu wa Barick
Mkuu viwanda vipo Wilayani Kahama japo si vingi. Angalia hapa: KAHAMA OIL MILLS, BUNDAA RICE MILLS, KAHAMA COTTON GINNERY, KTM (DIAMOND) LTD, KISHIMBA CO LTD n.k.
aisee!
kwa hiyo kumbe ni kweli ngeleja alikuwa aki-abuse office kwa kujipendelea yeye na ndugu zake wa kahama?