Huyo sikumkuta wakati wangu head boy alikuwa Grey MatambalyaDuh naukumbuka sana huo wimbo by that time nilikuwa nimetoka wakati ww unaingia hapo ..ila namkumbuka Amina Mcharazo nadhan alikuwa dada mkuu.Nimeuimba sana huo wimbo nadhan ulitungwa 1993 hvi..ulikuwa unaimbwa kwa vitendo hapo kwenye hiyo chorus..(unaonesha mkono kwa kuweka moyoni( belongs to me) then unamshika mwenzako begani(to you) and unamalizia kwa ukitawanya (to us)
..This school belongs to me
..this school belongs to you
this school belongs to us, i have to share the spirit of my xkul
Hata huyu namkumbuka alikuwa anakaa mitaa ya keko nadhan au bora ..afu alikuwa amezoea kunyoa nywele ili kuficha kipara kilichokua kinamjongea.Basi Amina alikuwa kabla ya GreyHuyo sikumkuta wakati wangu head boy alikuwa Grey Matambalya
Hata huyu namkumbuka alikuwa anakaa mitaa ya keko nadhan au bora ..afu alikuwa amezoea kunyoa nywele ili kuficha kipara kilichokua kinamjongea.Basi Amina alikuwa kabla ya Grey
Msisahau kumpigia kura za YES msomi mwenzenu , mkombozi wa Taifa hili, Doct. Slaa
Umenikumbusha huyu bwana alikuwa anaitwa bwenge yaani kuna siku tulipeana nae mtiti hata nisahau na u sir major wake!! Alikuwa na mwanae mmoja akiitwa shimimana bwenge yaani akili kama baba yake tu....Hivi huyo mosha bado yupo? jina kama nalikumbuka ila nilisikia habar flani zake sijui kama bado yupo pale..Jiteute ntaikumbuka sana NGAJUA(RIP) chapati kwake na supu mie member..Midodi(RIP) aliwahi kwenda mess na taulo tu..mama lyimo(RIP) huyu Bios ilikuwa imelala kumkichwa..Mteta ..mama Clara alinijuza vyema siku za wakina dada zinakuwaje yaani ukigonga dume ukichelewa jike dah Jiteute weee kama popooo