wanajf wa musoma mpoo?

dah!..inaniuma sana. ningekupata wewe ningejiita mwenye bahati. Hii thread yako nimeiona leo asubuhi. so umesha ondoka umeelekea wapi? kwani wewe makazi yako ni wapi? funguka mkuu. ntakutafuta kwa hali na mali hata kama miaka miwili ikiisha. Mia
Charimnglady huyu jamaa muepuke ana bidii huyo...alishawahi kumfuata demu Zanzibar akalamba hola
 
Last edited by a moderator:
hahhaha jamani mke mwenza vipi tena mvumilivu hula mbivu jamani mana hukuSaint Ivuga nguo ndio nimeziloweka leo siku ya nne sijazitoa ktk maji mgongo waniuma siwez fua siku za karibuni may be wiki ijayo vumilia tu mpz

mke mwenza smtym mvumilivu hula mbovu.sa mie ctak mpk kuja kula mbovu. nshamwambia platozoom atangaze ndoa make ntakufa na wivu mtoto wa mwanamke mwenzio!
 
Mwanangu bora umefunguka na kuliona hilo, CUTE, kambana mumewe Saint Ivuga weekend halafu anakupa moyo we uwe mvumilivu, utaishia kushika pembe mwenzio anakamua maziwa, ha ha ha! Mkwe wangu @Sobhuza kifungo sijui kinaisha lini. Huyu anayebisha hodi mwambie hajafika kwa mama hapa.
 
Last edited by a moderator:
mum ntamdirect kwako, platozoom km uko seriour kamwone mamangu mdhadhi measkron akupe ruksa ili taratibu zingne zifatie!
 
Last edited by a moderator:
mama angu yuko a-town so kafanye book ya dar express mapemaa kwani tìket huwa chache. . . mmama wa kichaga huyo afu unauliza kinywaji chenye rangi we vp?
 
Back
Top Bottom