Kwanza sijaelewa umeandika nini, cha pili usitutishe humu JF kuna watu wamepinda bwana, tatu shida zako zisifanye sisi tuteseke, nne pambana na hali yako, tano hatukujui sasa tutachukuliaje shida zako siliazi? sita Usione JF kama kituo cha ushauri au ANGAZA, saba ukitaka tukuchulie siriaz tumia ID ya ukweli na usitumia avatar, nane acha ushamba kulalamika mitandaoni ni upuuzi, tisa humu hakuna atakaekuonea huruma, kumi acha kuwalaumu mods kama unawatamani tuma maombi uajiliwe, kumi na moja acha chuki binafsi, kumi na mbili iwe mwanzo na mwisho kuleta nyuzi kama hizi, kumi na mbili pole kwa yaliyokukuta, kumi na tatu tu njoo PM tuongee nikupe muariko tukae mahali tunywe tuagize bia mili tatu na mishkaki ya kupotezea wakati, ukiona kama uelewi jipoze na sprite baridi.