Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,826
Kuna uzi namwambia da mau kafunguliwa na ManyanzaUZIIII?UNANIMIX UJUE🤔
Kuna uzi namwambia da mau kafunguliwa na ManyanzaUZIIII?UNANIMIX UJUE🤔
Hawajui tu da mau anavyojua kutuchangamsha humu na nyuzi zake 😂😂😂K
Kwanza jf ya bila maua huyu tunaemfamu itaboa sana hasa hili jukwaa.
Kulikoni muremboWengine ndio wema wakusaidiwa humu katika nyanza mbali mbali ila kwangu ni wakudhihakiwa everyday ipo siku yenu maisha yatapiga tu na mtahitaji msaada na mie nawakashifu vile vile .
Kuna uzi namwambia da mau kafunguliwa na Manyanza
🤣🤣🤣🤣Halafu unachekaHawajui tu da mau anavyojua kutuchangamsha humu na nyuzi zake 😂😂😂
Simtank
Nafasi ilikuwa afanyiwe counseling kwa miezi 3.🤣🤣🤣Nafasi bado ipo?
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Sasa tunakujua wewe kenger?MAANA NYIE NI WA BAGUZI
🤨🤨🤨🤨🤔🤔🤔 AnywayNafasi ilikuwa afanyiwe counseling kwa miezi 3.
Kisha atafutiwe business ya kufanya,
ana ishia kulalamika Kama kala moto.
Mr Dell Sija enda shule 🤓😆, anyway maana yake nini??.🤨🤨🤨🤨🤔🤔🤔 Anyway
Kwa uandishi wako acha yakukute tu, hueleweki.Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
😅😅😅😅Mmh kwani mwenyewe anasemaje?Mr Dell Sija enda shule 🤓😆, anyway maana yake nini??.
Kuna ka course ka counseling miezi 3, kwa normal price katika mkoa fulani.
Jamaa yangu ni mtaalamu wa pale, sishindwi kumchekesha 🤓
Sitaki hata kujua🤓😆, she never even questioned about it.😅😅😅😅Mmh kwani mwenyewe anasemaje?
WEwe ndio watakufanyia wanachotaka kunifanyiaKwa uandishi wako acha yakukute tu, hueleweki.